Umenifanya niende Kata yangu, nimekuta majina watu wanne, wapo kwenye Karani na qapo Maudhui. Mbaya zaidi majina ya Karani ni mawili na hawajawwka namba za simu, majina hayo hayo yametokea kwenye Maudhui ila yamewekwa matatu na namba za simu. Hii sio sawaPale unapomhonga mtendaji kata na diwani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2306251
Hahahaha poleni,upo kimanga mtaa gani?Huku kimanga wasimamizi wa maudhui wamechukua walimu tu watajihesabu wenyewe
TwigaHahahaha poleni,upo kimanga mtaa gani?
Kuna jamaa yangu anakaa huko
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Poleni sana yeye anakaa mawenzi nadhan paleTwiga
Ukifika pale kwenye Semina utamkuta Mtendaji na Ma Afisa ngazi ya Wilaya.Hii inawezekana vipi....!!!
Kwamba unamfuata mtendaji ama unafanyaje ukiwa hapo eneo la semina
Alifanya miamala Mara mbili huyoo.Daaaah awapo serious hawa jamaa View attachment 2306273
Ngoja tusubiri bashiriOya wakuuu malipo yanakuaje eti
Hao wanaropoka tuu,wapo wengi wamepata Maudhui tena ni jobless kabisa.Duuhh mbona kuna jamaa amepata na c mkuu wa shule wala sio mwalimu
Haiondoi ukweli kuwa umeliwa kichwaKiukweli watajihesabu wenyewe
Tukumbukane kwenye ufalme wa kumwagilia moyo.Hatimae nami nimepenya kwenye maudhui, nikiwa jobless kbs, baada ya kukata tamaa sana nilipokuwa nasikia ni nafasi za walimu wakuu pekee.
Itoshe kusema Mungu n wetu sote.
Ilikuwa watupie asubuhi hii , mambo yameharbika baada ya mkuu wa mkoa kufukuzwa kazi