Temeke Majina tayari.!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38]
Nimekuwa kichwa wakuu nimeangalia sasa hivi kwenye simu ya madau tukiwa watu watatu wa majobless wa mtaa mmoja na wote hatumo.
SijuiTemeke Majina tayari.!?
Tupo pamoja na mimi wanikata ila Ilala noma sana watu karibia saba nilioomba nao wote wamekatwa hakuna hata mmoja ninayemjua halafu majina mengi yamejaa jinsi ya kike vidume tumepigwa KOILALA WAMEAMUA UGOMVI
Tulianza kama utani kukimbizana kutafuta fingerprint za wadhamini, tukasubiri Kwa muda mrefu hatimaye mkeka wa kwanza ulitoka Jina langu likawemo, kama mjumbe mmoja alivyosema kwenye Uzi wa Mamba Vs predators akasema eti kwakuwa mamba anataga basi hastahili kuingiankwenye Hilo kundi, Kuna mjumbe akasema usiombe ukutane na mamba wa mto Nile, Ndio kilichonipata Jina langu likakutwa na hao Mamba, linatafunwa huku mamba chozi Lina mtoka, kiufupi nimeliwa kichwa.
Nitumie fursa hii kumshukuru Mungu Maana maandiko yametuasa kumshukuru Kwa kila jambo, lakini pia niwashukuru wote ndani ya huu Uzi Kwa kutumia vifurushi au VPN mkaleta update ya kinachoendelea huko vyumbani. Ramli zote chonganishi zilipelekea watu wakataka kutoana ngeu.
Niwape pongezi wote ambao wamevuka Salama nawaasa Wakachape kazi, uvivu hautakiwi, na posho wazitumie vizuri hatutaki kusikia Tena ooh hatuna mitaji yakujiajiri, mitaji hiyooo msihonge kawekezeni. Wengine maisha lazima yaendelee wengi walikuwa wanazipigia hesabu hizo hela, usiihesabie Hela ambayo sio yako utaishia kukata tamaa.
Naomba kuaga rasmi kutoka kwenye huu Uzi.
TUJIANDAE KUHESABIWA
nmechezea za uso aseeeee daaaaah nilikuwa nategemea huko kwa ajili ya mtaji sijui ntatoboa vip maisha aya aseeeetushee matatizo
Hata mimi ilala tulikuwa wa 4 tunaojuana hakuna hata mmoja alietoboaTupo pamoja na mimi wanikata ila Ilala noma sana watu karibia saba nilioomba nao wote wamekatwa hakuna hata mmoja ninayemjua halafu majina mengi yamejaa jinsi ya kike vidume tumepigwa KO
😂😂😆 mimi wakati wakuangalia presha ilikuwa juu maana nilishapiga hesabu kali na kuandaa mazingira ya party dah!!! baada ya kucheki nikasema uongo huu ngoja niitazame tena wapi nikasema nisearch jina langu labda wameniweka kata nyingine hapo pia nikala za kichwa sasa nipo geto nacheza gemu kujipoza machungu huku nikisikilizia michongo wangu wa mwisho .nmechezea za uso aseeeee daaaaah nilikuwa nategemea huko kwa ajili ya mtaji sijui ntatoboa vip maisha aya aseeee
hongera sanaa mkuu upo wilaya ya magu nimezaliwa hapo mkuu lakn nimekulia sehemu moja inaitwa sogesca.Wakuu nimetoboa , Mungu amebless , daah niliomba maudhui wamenipa ukarani , Wilaya ya Magu mkoani Mwanza , za chini chini Mbunge wetu katupambania kinyama majobless.... naskia vita ilikuwa Kali Sana , zaidi ya yote Tupo pamoja Sana wanangu wa JF...
nami nimetoboa mkuu,tupo pamoja sanaaa nikija magu nitakutafuta mkuu napafahamu sanaaa hapo dah ktambo sanaa mkuu,,tupo dar tunapambana na life.Wakuu nimetoboa , Mungu amebless , daah niliomba maudhui wamenipa ukarani , Wilaya ya Magu mkoani Mwanza , za chini chini Mbunge wetu katupambania kinyama majobless.... naskia vita ilikuwa Kali Sana , zaidi ya yote Tupo pamoja Sana wanangu wa JF...
Karbu Sana mkuu , mi npo Kisesa bossnami nimetoboa mkuu,tupo pamoja sanaaa nikija magu nitakutafuta mkuu napafahamu sanaaa hapo dah ktambo sanaa mkuu,,tupo dar tunapambana na life.
Mwenye majina ya ilala
Hayo hapo Mkuu @nyakorere Majina 6a Ilala, Dar Es Salaam