Sauti ya amani
Member
- Jul 19, 2022
- 64
- 89
Anahisi we ni mzuri wewe ni mobeto,hana pa kupeleka hela za sensa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jokes asije kuja na full throttle
ahahaha asnt kw knxaidia nlijua bonge la pisi kumbe ndo...
Hata mm wamenila kichwa na degree yangu na maswali nilijibu kwa usahihiTupo pamoja na mimi wanikata ila Ilala noma sana watu karibia saba nilioomba nao wote wamekatwa hakuna hata mmoja ninayemjua halafu majina mengi yamejaa jinsi ya kike vidume tumepigwa KO
Wilaya kanjanja sana hiitemeke bado tu jaman au
Namanyere moja hiyoWILAYA YA NKASI MKOA WA RUKWA INA MAMBO YA OVYO SANAAA.
kiufupi mm walinila kichwa tangu jana mkeka ulivyobandikwa halimashauri mida ya saa moja jioni. sasa mshikaji wangu yeye jina lilitoka maana alikuwa na mawasiliano mazuri na aliyemfanyia usaili. sasa kitu cha ajabu saizi asubh yale majina ya jana yamechanwa na wamebandika mengine. Sasa rafk yangu jina limetolewa tena. yani hii nchi nyieeeee. Kwanza tulifanyiwa usaili wa kihuni sanaa, no ukaguzi wa vyeti, hakuna maswali yahusuyo sensa ila maswali yaliulizwa ya elimu yako, chuo ulichosoma na kama unaweza kutumia simu janja. Nilijua siwez kutoboa na kweli sijatoboa. Mtendaji kata jirani anasema simu toka wilayani zilizidi kila mtu anaweka order ya nafasi kadhaa. Sasa sijui kwetu kwa mtendaji kata mwanamke. Haaaaa wilaya hii ndiyo maana maendeleo yake ni duni sana maana kuna madudu huko. Kama mm nayaona hayo madudu hivi mama samia haambiwi? TAKUKURU huku nadhani hawapo au hii taasisi iliwekwa ili kutishia watu tu. Hivi madudu yote haya hakuna mtu aliyekamatwa. Aiseee.
Hongera,vipi majina yanapatikana wapi nikachungulie,japo sina tumainiWakuu nimetoboa , Mungu amebless , daah niliomba maudhui wamenipa ukarani , Wilaya ya Magu mkoani Mwanza , za chini chini Mbunge wetu katupambania kinyama majobless.... naskia vita ilikuwa Kali Sana , zaidi ya yote Tupo pamoja Sana wanangu wa JF...
Nimetumiwa Tu watsap na mdau ya wilaya ya MaguHongera,vipi majina yanapatikana wapi nikachungulie,japo sina tumaini
So hawajabandikaNimetumiwa Tu watsap na mdau ya wilaya ya Magu
Wamebandika katani kwangu , Ila Mimi nimetumiwa watsapSo hawajabandika
PDF loading....!Aliye na PDF ya halmashauri ya Kaliua
Nami naisubiri ya Missenyi ya leoMOROGORO hio apo
Mwenye pdf Missenyi share tafadhali.
Mwenye pdf ya halmashaur ya wilaya ya ulangaAliye na PDF ya halmashauri ya Kaliua
Acha tu ndugu yangu tujiandae tu kuhesabiwaTupo pamoja na mimi wanikata ila Ilala noma sana watu karibia saba nilioomba nao wote wamekatwa hakuna hata mmoja ninayemjua halafu majina mengi yamejaa jinsi ya kike vidume tumepigwa KO
Usiombe ukaliwa na mamba wa river Nile waliovurugwaNahisi kuliwa nyama na sensa, maana naona movies movies tu
Daaah aseee bora nbs wangemaliza wenyewe tujue mojaπππ mimi wakati wakuangalia presha ilikuwa juu maana nilishapiga hesabu kali na kuandaa mazingira ya party dah!!! baada ya kucheki nikasema uongo huu ngoja niitazame tena wapi nikasema nisearch jina langu labda wameniweka kata nyingine hapo pia nikala za kichwa sasa nipo geto nacheza gemu kujipoza machungu huku nikisikilizia michongo wangu wa mwisho .