Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Tupo pamoja na mimi wanikata ila Ilala noma sana watu karibia saba nilioomba nao wote wamekatwa hakuna hata mmoja ninayemjua halafu majina mengi yamejaa jinsi ya kike vidume tumepigwa KO
Hata mm wamenila kichwa na degree yangu na maswali nilijibu kwa usahihi
 
mpaka sasa wilaya ya NYAMAGANA (MWANZA JIJI) haijatoa majina.

Na kesho ndio wanasema mafunzo yanaanza😂😂😂
 
WILAYA YA NKASI MKOA WA RUKWA INA MAMBO YA OVYO SANAAA.

kiufupi mm walinila kichwa tangu jana mkeka ulivyobandikwa halimashauri mida ya saa moja jioni. sasa mshikaji wangu yeye jina lilitoka maana alikuwa na mawasiliano mazuri na aliyemfanyia usaili. sasa kitu cha ajabu saizi asubh yale majina ya jana yamechanwa na wamebandika mengine. Sasa rafk yangu jina limetolewa tena. yani hii nchi nyieeeee. Kwanza tulifanyiwa usaili wa kihuni sanaa, no ukaguzi wa vyeti, hakuna maswali yahusuyo sensa ila maswali yaliulizwa ya elimu yako, chuo ulichosoma na kama unaweza kutumia simu janja. Nilijua siwez kutoboa na kweli sijatoboa. Mtendaji kata jirani anasema simu toka wilayani zilizidi kila mtu anaweka order ya nafasi kadhaa. Sasa sijui kwetu kwa mtendaji kata mwanamke. Haaaaa wilaya hii ndiyo maana maendeleo yake ni duni sana maana kuna madudu huko. Kama mm nayaona hayo madudu hivi mama samia haambiwi? TAKUKURU huku nadhani hawapo au hii taasisi iliwekwa ili kutishia watu tu. Hivi madudu yote haya hakuna mtu aliyekamatwa. Aiseee.
Namanyere moja hiyo
 
Wakuu nimetoboa , Mungu amebless , daah niliomba maudhui wamenipa ukarani , Wilaya ya Magu mkoani Mwanza , za chini chini Mbunge wetu katupambania kinyama majobless.... naskia vita ilikuwa Kali Sana , zaidi ya yote Tupo pamoja Sana wanangu wa JF...
Hongera,vipi majina yanapatikana wapi nikachungulie,japo sina tumaini
 
Tupo pamoja na mimi wanikata ila Ilala noma sana watu karibia saba nilioomba nao wote wamekatwa hakuna hata mmoja ninayemjua halafu majina mengi yamejaa jinsi ya kike vidume tumepigwa KO
Acha tu ndugu yangu tujiandae tu kuhesabiwa
 
Sisi wote tumepita yaan tulioitwa kwwnye usaili wote tumepita
1658996444975.jpg
 
😂😂😆 mimi wakati wakuangalia presha ilikuwa juu maana nilishapiga hesabu kali na kuandaa mazingira ya party dah!!! baada ya kucheki nikasema uongo huu ngoja niitazame tena wapi nikasema nisearch jina langu labda wameniweka kata nyingine hapo pia nikala za kichwa sasa nipo geto nacheza gemu kujipoza machungu huku nikisikilizia michongo wangu wa mwisho .
Daaah aseee bora nbs wangemaliza wenyewe tujue moja
 
Back
Top Bottom