Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Jobless wamewachinja 90% na Graduate

Mm nimepata niliweka Elimu form six
 
Wadau pleaseeeeee mwenye soft copy ya kitabu cha muongozo wa sensa pleaseeeeee afanye kunitumia PM ninashida nacho sana wadau
 
Penyewe hapa mwamba. Yani wivu umenishika kata ya home mbeya washikaji zangu wote wamepata, yani kata wamechukua watu 100[emoji39][emoji39][emoji39] Na waliomba 180, waliohudhuria usaili n 128[emoji16]
Pole sana,ungemcheki Dr angekufanyia manuva.
 
Jamani kuna aliyepata majina sensa kwa wilaya ya temeke?( yani ya kwenda kwenye Interview)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…