Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Wadau pleaseeeeee mwenye soft copy ya kitabu cha muongozo wa sensa pleaseeeeee afanye kunitumia PM ninashida nacho sana wadau
 
Penyewe hapa mwamba. Yani wivu umenishika kata ya home mbeya washikaji zangu wote wamepata, yani kata wamechukua watu 100[emoji39][emoji39][emoji39] Na waliomba 180, waliohudhuria usaili n 128[emoji16]
Pole sana,ungemcheki Dr angekufanyia manuva.
 
Nimeandaa machela kwa ajili ya watu wa Temeke, muhimu sana kujiandaa kisaikolojia
IMG_20220312_205542.jpg
 
Back
Top Bottom