DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Jobless wamewachinja 90% na Graduate
Mm nimepata niliweka Elimu form six
Mm nimepata niliweka Elimu form six
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sanaHatimae nami nimepenya kwenye maudhui, nikiwa jobless kbs, baada ya kukata tamaa sana nilipokuwa nasikia ni nafasi za walimu wakuu pekee.
Itoshe kusema Mungu n wetu sote.
Pole sana,ungemcheki Dr angekufanyia manuva.Penyewe hapa mwamba. Yani wivu umenishika kata ya home mbeya washikaji zangu wote wamepata, yani kata wamechukua watu 100[emoji39][emoji39][emoji39] Na waliomba 180, waliohudhuria usaili n 128[emoji16]
Atume tu helahahaha nna sura ya baba hata asitake kuniona atulie tu
hamnaga free lunch sitaki hela sijazotolea jasho
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unachagua njia ngumu mwenyewehamnaga free lunch sitaki hela sijazotolea jasho
bure ghali[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unachagua njia ngumu mwenyewe
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Mpaka sasa ni bila bila.Jamani kuna aliyepata majina sensa kwa wilaya ya temeke?( yani ya kwenda kwenye Interview)
Sawa bhana madamebure ghali
Kama wife ni kijana na hana aibu aende sehemu ambayo kata yake inafanya semina kesho anaweza pata nafasi,kuna wale wanao ombaga wanapata na hawatokeiWamemla wife kichwa. Vipi nafasi za reserve siwezi kuzipambania
sikuomba mkuu, aliepata ni mdogo wanguSawa bhana madame
Umepata lakini kazi ya ukarani/maudhui?
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
..Nimeandaa machela kwa ajili ya watu wa Temeke, muhimu sana kujiandaa kisaikolojiaView attachment 2307047
Sio kosa lako sikulaumu kwa sabubu mimi mwenyewe najua machungu yake#MapambanoYaendeleeBongo yote kmnn