Utakua umeamini sasa. Au mwenzetu mnaendelea na semina?NBS website haipo hii kitu jombaa
Teh kwahiyo makaran darasa lao ,teham lao na wasimamiz lao. Au watu wa kata moja darasa hilohilo regardless n kitengo kipindo hvo mkuu leo wamepangwa kimadarasa
Nasikia mmeambiwa mzigo mnapitishiwa Benki. Na ni lazima kuwa na akaunt za benki ili mkatwe ya kutolea?vipi n kwelyah kuna jamaa ang amenambia pia hvo kuw wameitwa wamepangwa ila jpil ndo wataanz semina ila kama haupo unakatwa.
Nmesikia ni afutatuHpna bwana, ni elfu tano
Ngazi ya taifa unalipwa perdiem mzee 150000 mpka 250000Ngazi ya taifa semina ilikuwa bei gani
Per day
Na ngazi ya kata je n ngapiNgazi ya taifa unalipwa perdiem mzee 150000 mpka 250000
DailyHizi hela za semina zinalipwa kwa daily au mwishoni?
NASIKIA NI KUPITIA BENKI ILI MAMA WA TOZO AUPIGE MWINGIDaily
Hahahaha mie walionifanyia interview ya msimamizi wa maudhui ndio wao majina yao yametoka wengine tumepigwa chiniUshuhuda mfupi juu ya kupata nafasi ya sensa.
Binafsi niliomba kaz ya maudhui, sikufaham kama ile nafasi sitakiwi mtu wa namna yangu.
Nilifanya usaili nikiwa kama msimamizi wa maudhui.
Kutokana na umuhimu wangu katika mtaa niliopo iliwalazimu kunisaidia kuniamisha na kunipeleka kwenye ukarani,lkn wenzangu wote wameliwa vichwa zaidi ya 30
Wapo waliopata bila connection nawajua ,lkn pia wapo waliopata kwa connection ,hii ipo sehemu yoyote.
Mliokosa msikate tamaa, uchaguzi 2020 sikupata,post code sikupata ila hii nipo ndani.
TUSHIRIKI SENSA KWA MAENDELEO.
Umaskini unatufanya tunakua wanyonge na wajinga sanandio lakn sio wakukate eti leo hyo sio haki wanawazngua tu lakn jumapili ndo nbs wamesema ni nani sasa wakupinge.
Helq ya serikali haiwez toka kila siku kama vile unafanya saidia fundi hapo labda k8la wiki uhakikaDaily
NakaziaHelq ya serikali haiwez toka kila siku kama vile unafanya saidia fundi hapo labda k8la wiki uhakika
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
kumradhi, ila ilikuwa inatia shaka. Hata hivyo tulijaa nyomi. Faida ni kupata marafiki wa mapema na kupiga soga, siku ikaisha.Utakua umeamini sasa. Au mwenzetu mnaendelea na semina?
Fala wewe kuwa makini mjomba ,kumradhi, ila ilikuwa inatia shaka. Hata hivyo tulijaa nyomi. Faida ni kupata marafiki wa mapema na kupiga soga, siku ikaisha.
AsanteFala wewe kuwa makini mjomba ,
Kumradhi yako hatutaki
Poa dogo nisamee kwa kutumia lugha Kali , kutafuta pesa Kuna stress nyingi mkuuAsante
Uwe na amani broPoa dogo nisamee kwa kutumia lugha Kali , kutafuta pesa Kuna stress nyingi mkuu
Elfu20 mpaka elfu 30 inategemea na majukumu yako jombaaNa ngazi ya kata je n ngapi
Huwa wanatoa Kwa Awamu, Mfano siku ya kwanza ya Semina wanaweza wakatoa Hela yote ya Semina Kwa wiki ya Kwanza, then wiki ya pili pia mkapewa Hela yote ya siku mtakazo hudhuria Kwa wiki hiyoHelq ya serikali haiwez toka kila siku kama vile unafanya saidia fundi hapo labda k8la wiki uhakika
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app