Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Ushuhuda mfupi juu ya kupata nafasi ya sensa.
Binafsi niliomba kaz ya maudhui, sikufaham kama ile nafasi sitakiwi mtu wa namna yangu.
Nilifanya usaili nikiwa kama msimamizi wa maudhui.
Kutokana na umuhimu wangu katika mtaa niliopo iliwalazimu kunisaidia kuniamisha na kunipeleka kwenye ukarani,lkn wenzangu wote wameliwa vichwa zaidi ya 30
Wapo waliopata bila connection nawajua ,lkn pia wapo waliopata kwa connection ,hii ipo sehemu yoyote.
Mliokosa msikate tamaa, uchaguzi 2020 sikupata,post code sikupata ila hii nipo ndani.
TUSHIRIKI SENSA KWA MAENDELEO.
Hahahaha mie walionifanyia interview ya msimamizi wa maudhui ndio wao majina yao yametoka wengine tumepigwa chini
 
ndio lakn sio wakukate eti leo hyo sio haki wanawazngua tu lakn jumapili ndo nbs wamesema ni nani sasa wakupinge.
Umaskini unatufanya tunakua wanyonge na wajinga sana
Mm nililala leo simu za watu ndio zimenifanya niende ila kama wote tungefata taarifa na nbs nani wangempanga huko leo?

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Helq ya serikali haiwez toka kila siku kama vile unafanya saidia fundi hapo labda k8la wiki uhakika

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Huwa wanatoa Kwa Awamu, Mfano siku ya kwanza ya Semina wanaweza wakatoa Hela yote ya Semina Kwa wiki ya Kwanza, then wiki ya pili pia mkapewa Hela yote ya siku mtakazo hudhuria Kwa wiki hiyo
 
Back
Top Bottom