Atomic orbital
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 374
- 484
Ni tamko kutoka Kwa mtakwimu mkuu wa serikali Kwa waratibu wa Sensa mkoa wakufunzi wenu wameshapata habari labda kama wataamua vinginevyo kaka mwakilishi kutoka wizarani ametuonesha hilo tamkoKiongozi nimesikia ktka hili kundi kubwa watachukuliwa baadhi kufundihwa semina ya dodoso la majengo hiii imekaaje wakuu
Kwenye ratiba niliona dodoso la majengo tutasoma wote ila dodoso la jamii ndio watachukuliwa baadhi kupokea mafunzo zile Siku tatu za mwishoKiongozi nimesikia ktka hili kundi kubwa watachukuliwa baadhi kufundihwa semina ya dodoso la majengo hiii imekaaje wakuu
Mkuu field ni Siku mbili kabla ya tarehe 16 baada ya Hapo Hakuna field tena labda kama kuna marekebisho ila Kwa ratiba tuliyopewa iko hivoRatiba inasoma hivi tarh 18 ndo mwisho wa semina then watu wataenda field uwadani then baada ya Hapo ndo Kaz itaanza Leo huku tumeanza Dodoso la makundi Maalumu then Ni vizuri Kupata information kutoka katika watu wanaoelewa hii Kazi hakuna Mtu atakaye sideline hii Kazi Ni heavyweight inahitaji Man-power yakutosha Kuna kuumwa emergency za hapa na pale hasa dada zetu
kesho kutwaVipi paper la pili lini?
Inamana mafunzo na makaran wote na field n sku ngap?Mkuu field ni Siku mbili kabla ya tarehe 16 baada ya Hapo Hakuna field tena labda kama kuna marekebisho ila Kwa ratiba tuliyopewa iko hivo
IRIEkesho kutwa
Mkuu leta possible za maswaliMkuu field ni Siku mbili kabla ya tarehe 16 baada ya Hapo Hakuna field tena labda kama kuna marekebisho ila Kwa ratiba tuliyopewa iko hivo
Asante kiongozi, naomba possibleSensa siku 6 ,majengo siku 6 so 12 wote wanafanya...la jamii siku 2 ndo watachaguliwa wachache na wasimamizi
dodoso la jamii ni siku mbili kabla ya kuanza zoezi la sensa. dodoso la jamii watachagulia baadhi kwa kila mtaa kudodosa dodoso la jamii.Kwenye ratiba niliona dodoso la majengo tutasoma wote ila dodoso la jamii ndio watachukuliwa baadhi kupokea mafunzo zile Siku tatu za mwisho
Unaweza share hiyo kitu mkuuNi tamko kutoka Kwa mtakwimu mkuu wa serikali Kwa waratibu wa Sensa mkoa wakufunzi wenu wameshapata habari labda kama wataamua vinginevyo kaka mwakilishi kutoka wizarani ametuonesha hilo tamko
Ratiba inasoma Siku 19 ni Kwa makarani watakaoshiriki dodoso la jamiiInamana mafunzo na makaran wote na field n sku ngap?
Tatizo lenu hamjui kitu sijui mpo kijiji gani mnatoa taarifa za uongo at the great extentRatiba inasoma Siku 19 ni Kwa makarani watakaoshiriki dodoso la jamii
Vinginevyo ni Siku 16
To clarify things,Ratiba inasoma Siku 19 ni Kwa makarani watakaoshiriki dodoso la jamii
Vinginevyo ni Siku 16
Hiyo ni Kwa madhumuni ya ratiba tuliyopewa maswala ya vijiji ni kuonyesha ulivyo nangaTatizo lenu hamjui kitu sijui mpo kijiji gani mnatoa taarifa za uongo at the great extent