Atomic orbital
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 374
- 484
Ni tamko kutoka Kwa mtakwimu mkuu wa serikali Kwa waratibu wa Sensa mkoa wakufunzi wenu wameshapata habari labda kama wataamua vinginevyo kaka mwakilishi kutoka wizarani ametuonesha hilo tamkoKiongozi nimesikia ktka hili kundi kubwa watachukuliwa baadhi kufundihwa semina ya dodoso la majengo hiii imekaaje wakuu