Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Kiongozi nimesikia ktka hili kundi kubwa watachukuliwa baadhi kufundihwa semina ya dodoso la majengo hiii imekaaje wakuu
Ni tamko kutoka Kwa mtakwimu mkuu wa serikali Kwa waratibu wa Sensa mkoa wakufunzi wenu wameshapata habari labda kama wataamua vinginevyo kaka mwakilishi kutoka wizarani ametuonesha hilo tamko
 
Ratiba inasoma hivi tarh 18 ndo mwisho wa semina then watu wataenda field uwadani then baada ya Hapo ndo Kaz itaanza Leo huku tumeanza Dodoso la makundi Maalumu then Ni vizuri Kupata information kutoka katika watu wanaoelewa hii Kazi hakuna Mtu atakaye sideline hii Kazi Ni heavyweight inahitaji Man-power yakutosha Kuna kuumwa emergency za hapa na pale hasa dada zetu
Mkuu field ni Siku mbili kabla ya tarehe 16 baada ya Hapo Hakuna field tena labda kama kuna marekebisho ila Kwa ratiba tuliyopewa iko hivo
 
Back
Top Bottom