Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nan katazama ITV wameongelea hii ishu inaonekana haina siku nyingi majina yanatoka..nimekuta habari ndio inaisha usiku huu
 
Tuambie wameongeleaje mana wengine hatuna TV
Anna Makinda alikuwa akiratibu mafunzo chuo cha taifa cha takwimu ambapo kuna watu wanapatiwa mafunzo ili nao wakafundishe watakaochaguliwa sensa.
.............
Nawaza tuu[emoji848]
-Kama umesomea takwimu(statistics) chuo cha takwimu kanunue buti au raba.
-Wanaofundishwa ili wakafundishe makarani na wasimamizi, nao pia wameomba ukarani na usimamizi [emoji23]
 
Mimi ni mwanafunzi niko mbeya namaliza chuo mwezi wa 7 tarehe 6 nimeomba ukarani mtwara .Swali langu kutokana na maelezo yako, lazima usahili nifanye sehemu niloomba ?? Na kama ndio naweza fanya usahili huku niliko??
 
Usahili na Mafunzo yanafanyika kwenye wilaya na kata ulio omba kufanya hiyo kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…