The coolest jw
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 705
- 1,082
View attachment Kuhusu_Maombi_ya_Kazi_za_Muda (2).pdfMbona majina yalishatoka kitambo Sana jaman...View attachment 2249498
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment Kuhusu_Maombi_ya_Kazi_za_Muda (2).pdfMbona majina yalishatoka kitambo Sana jaman...View attachment 2249498
[emoji23][emoji23]Hongera wengine ikisha Rudi ndo mtendaji kashatuchinjia baharinSasa mchezo sindo umeisha yani jina likirudi nimemaliza maana hapo kata sina kipingamizi
[emoji23][emoji23]Hongera wengine ikisha Rudi ndo mtendaji kashatuchinjia baharinSasa mchezo sindo umeisha yani jina likirudi nimemaliza maana hapo kata sina kipingamizi
Tuambie wameongeleaje mana wengine hatuna TVNan katazama ITV wameongelea hii ishu inaonekana haina siku nyingi majina yanatoka..nimekuta habari ndio inaisha usiku huu
Yaan nimebadili channel kuja kurudi nimekuta ndio imeisha ila wamezungumzia kuhusu mambo ya interview hasa upande wa kuvijua matumizi ya vishkwambiTuambie wameongeleaje mana wengine hatuna TV
Anhaa shukrani kiongoziYaan nimebadili channel kuja kurudi nimekuta ndio imeisha ila wamezungumzia kuhusu mambo ya interview hasa upande wa kuvijua matumizi ya vishkwambi
Huyo mtendaji mwanagu wilayani ndo tutasumbuana[emoji23][emoji23]Hongera wengine ikisha Rudi ndo mtendaji kashatuchinjia baharin
Anna Makinda alikuwa akiratibu mafunzo chuo cha taifa cha takwimu ambapo kuna watu wanapatiwa mafunzo ili nao wakafundishe watakaochaguliwa sensa.Tuambie wameongeleaje mana wengine hatuna TV
Mimi ni mwanafunzi niko mbeya namaliza chuo mwezi wa 7 tarehe 6 nimeomba ukarani mtwara .Swali langu kutokana na maelezo yako, lazima usahili nifanye sehemu niloomba ?? Na kama ndio naweza fanya usahili huku niliko??Ngazi ya kata wataletewa majina 100 kutoka NBS kwa lengo la kufanya usahili ili wabaki 50.....Huu ni mfano wa itakavyokuwa na hizo fomu zilizobaki pale ofisini kwao hazina maana
Ndio maana majina yakitoka utayakuta kwenye tovuti yao na kwenye ofisi ya kata ulioomba kufanya hiyo kazi na watakupa tarehe ya kwenda kufanyiwa usahili katika kata/wilaya husika
Usahili na Mafunzo yanafanyika kwenye wilaya na kata ulio omba kufanya hiyo kaziMimi ni mwanafunzi niko mbeya namaliza chuo mwezi wa 7 tarehe 6 nimeomba ukarani mtwara .Swali langu kutokana na maelezo yako, lazima usahili nifanye sehemu niloomba ?? Na kama ndio naweza fanya usahili huku niliko??
Naam. Watu 80. Watakuwa training kwa siku 10 ndipo wakafundishe makarani na wasimamiziHahahaha, AFISA TEHAMA washaanza mafunzo dah
Kwa ngazi ya Taifa tuHahahaha, AFISA TEHAMA washaanza mafunzo dah
wameanza mafunzo kabla ya majina kutokaHahahaha, AFISA TEHAMA washaanza mafunzo dah
Hao ni wa kitaifa,ajira zao zina utaratibu tofaut na hizi za huku halmashauri,,,ndio watakuwa wakufunzi wa hawa wanasubiria ajira za muda za sensawameanza mafunzo kabla ya majina kutoka
Kumbe mshaitwa tayari?Tupo kwenye kikao muda huu ndugu zanguView attachment 2250188
👏👏👏Tupo kwenye kikao muda huu ndugu zanguView attachment 2250188