Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

sensa mwezi wa 8,nyie mnaulizia majina leo? wakiwafundisha sahizi hadi muda huo si mtasahau?
majina yanatoka tarehe 15 mwezi wa 7 then semina.
unamaliza semina leo siku ya tatu yake unaingia barabarani.
hizo ndo taarifa rasmi.
Ramli
 
Vijana wanataka kuanza kupanga bajeti ya hela ya sensa mapema [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…