Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale hawana shida kabisa,hawajui hata mana ya mfumoHalafu ofisi ya kata hawana hata jambo .......unawapelekea tu form yao
Sasa nani hakupeleka?Tuliopeleka form copy ofisi za kata gonga like hapa.
Kuna asilimia 60 za ushindi trust me
[emoji3][emoji3][emoji3]Sasa nani hakupeleka?
Watu wengi walipeleka [emoji1787][emoji1787]Tuliopeleka form copy ofisi za kata gonga like hapa.
Kuna asilimia 60 za ushindi trust me
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa nani hakupeleka?
Ramlisensa mwezi wa 8,nyie mnaulizia majina leo? wakiwafundisha sahizi hadi muda huo si mtasahau?
majina yanatoka tarehe 15 mwezi wa 7 then semina.
unamaliza semina leo siku ya tatu yake unaingia barabarani.
hizo ndo taarifa rasmi.
sikulazimishi kuaminiRamli
Ushaanza ufala wakoKimenukaaa huko
Vijana wanataka kuanza kupanga bajeti ya hela ya sensa mapema [emoji2]sensa mwezi wa 8,nyie mnaulizia majina leo? wakiwafundisha sahizi hadi muda huo si mtasahau?
majina yanatoka tarehe 15 mwezi wa 7 then semina.
unamaliza semina leo siku ya tatu yake unaingia barabarani.
hizo ndo taarifa rasmi.
Dodoma kwa mtendaji wa kata? Huko kwenu rufiji hayupo? Kuwa na subira dingiiiNaelekea Dodoma...
[emoji3][emoji3][emoji3]Dodoma kwa mtendaji wa kata? Huko kwenu rufiji hayupo? Kuwa na subira dingiii
Naelekea dom kwenye usaili wa Kampuni ya Mtt.Dodoma kwa mtendaji wa kata? Huko kwenu rufiji hayupo? Kuwa na subira dingiii
Hii inahusiana nini na uzi ?😆😆😂Naelekea dom kwenye usaili wa Kampuni ya Mtt.
Dingii uwebakiza akili ya kuvukia road
Usicheke mkuu hali ni ngumu sana ,unaweza kuta hayupo sawa sawa kiakiliHii inahusiana nini na uzi ?[emoji38][emoji38][emoji23]
Jamaa kavurugwaUsicheke mkuu hali ni ngumu sana ,unaweza kuta hayupo sawa sawa kiakili