Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
tulia wewe huku kila mtu anajifanya ana taarifa na anajuaDuh na hawakusema kwenye requirements/qualifications
kwani majina yashatokaWasimamizi wa TEHAMA vipi?
Sure mkuu mtazitia server za melo motoInaonekana siku majina yakitoka humu ndani kitawaka moto [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan Kuna watu tulikimbilia kuomba Nafasi ya Maudhui halafu ndo nimeanza kusikia Hizo nafasi watapewa watumishiii Daaah [emoji119][emoji119][emoji119]Duh na hawakusema kwenye requirements/qualifications
We Mwenyewe unatafuta Connection ya Kaz unatuambia majina kesho [emoji3]Kesho[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hakuna hiyo kitu.Yaan Kuna watu tulikimbilia kuomba Nafasi ya Maudhui halafu ndo nimeanza kusikia Hizo nafasi watapewa watumishiii Daaah [emoji119][emoji119][emoji119]
Bei ya hiyo tablet inalingana au ni chini ya malipo ya hiyo kazi. Hivyo siamini kuwa eti watahofia kutokurudishwa kwa vishkwambi. Ukitokomea nacho ndo umejilipa maana malipo ni mwishoni kabisa. Ila wadhamini watasaidia kulipaHiyo nayo hata mimi nimesikia siyo Mahudhui tu hata Makarani wasaidizi wengi watakuwa watumishi..tuisikimbie na Tablet zao
Yaani huku kila mtu anakuja na assumptions zake mkuu [emoji3]Bei ya hiyo tablet inalingana au ni chini ya malipo ya hiyo kazi. Hivyo siamini kuwa eti watahofia kutokurudishwa kwa vishkwambi. Ukitokomea nacho ndo umejilipa maana malipo ni mwishoni kabisa. Ila wadhamini watasaidia kulipa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Inaonekana siku majina yakitoka humu ndani kitawaka moto [emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo ni mengi[emoji16]Yaani huku kila mtu anakuja na assumptions zake mkuu [emoji3]
[emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316]We Mwenyewe unatafuta Connection ya Kaz unatuambia majina kesho [emoji3]
Daah!! Mwisho umemaliza kwa hisia sana[emoji23][emoji23][emoji23]halijui mama ako..Basi itakua una matatizo ya akili kama ulidhani pesa yote iliyotengwa b 600 ni kwa ajili ya kulipa makarani na wasimamizi pekee bila kuhusisha shughuli zingine zinazohusu sensa.Yani miwalimu ya nchi hii imejaa shida na roho mbaya hasa zinapotokea nafasi kama hizi ambazo vijana wasakatonge wanazihitaji ili wajikwamue kimaisha..
Usiwe unakurupuka kujibu quote ya mtu bila kuelewa amemaanisha nini.Nyie ndio wale mnaoanzisha nyuzi humu mfululizo kutaka ajira za muda za makarani na wasimamizi mpewe walimu pekee bila kuwafikiria vijana waliokaa mtaa miaka zaidi ya 10 wakisubiri ajira na hawana pesa ya mtaji,acheni roho mbaya hii nchi ni yetu sote
[emoji849]more info Ni kila halmashauri auWakuu wa shule na walimu wakuu jana ijumaa wameagizwa kutuma majina ya walimu wote iwe wameomba au hawajaomba kazi ya sensa...majina yote yatumwe halmashauri...imetokea Meru DC
Walimu wanaendekeza sana njaa, mbona watumishi wengine wamekausha tu??KUNA BIFU KALI SANA KATI YA WATUMISHI (HASA WALIMU) NA VIJANA WALIOHITIMU VYUO AU WASIO NA AJIRA LINAZIDI KUMEA NI HATARI.