Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Huu uzi mmeshaugeuza kijiwe cha soga notifications zinakuja najua kuna updates kumbe watu mnaleta stori za kiboya
 
Hiyo nayo hata mimi nimesikia siyo Mahudhui tu hata Makarani wasaidizi wengi watakuwa watumishi..tuisikimbie na Tablet zao
Bei ya hiyo tablet inalingana au ni chini ya malipo ya hiyo kazi. Hivyo siamini kuwa eti watahofia kutokurudishwa kwa vishkwambi. Ukitokomea nacho ndo umejilipa maana malipo ni mwishoni kabisa. Ila wadhamini watasaidia kulipa
 
Yaani huku kila mtu anakuja na assumptions zake mkuu [emoji3]
 
halijui mama ako..Basi itakua una matatizo ya akili kama ulidhani pesa yote iliyotengwa b 600 ni kwa ajili ya kulipa makarani na wasimamizi pekee bila kuhusisha shughuli zingine zinazohusu sensa.Yani miwalimu ya nchi hii imejaa shida na roho mbaya hasa zinapotokea nafasi kama hizi ambazo vijana wasakatonge wanazihitaji ili wajikwamue kimaisha..

Usiwe unakurupuka kujibu quote ya mtu bila kuelewa amemaanisha nini.Nyie ndio wale mnaoanzisha nyuzi humu mfululizo kutaka ajira za muda za makarani na wasimamizi mpewe walimu pekee bila kuwafikiria vijana waliokaa mtaa miaka zaidi ya 10 wakisubiri ajira na hawana pesa ya mtaji,acheni roho mbaya hii nchi ni yetu sote
Daah!! Mwisho umemaliza kwa hisia sana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakuu wa shule na walimu wakuu jana ijumaa wameagizwa kutuma majina ya walimu wote iwe wameomba au hawajaomba kazi ya sensa...majina yote yatumwe halmashauri...imetokea Meru DC
[emoji849]more info Ni kila halmashauri au
 
Back
Top Bottom