Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

mimi nimewaambia majina yanatoka mwezi wa 7 hamniamini haya subirini sasa
 
Sio kweli kaka.. Anaitajika mtu ambae anajua kutumia tablet tu... Na kujaza haya madodoso... Kuandika namaanisha... Hivyo tu.. Maana kazi atakua anapata maelekezo kwa wasimamizi.. Na semina itawasaidia pia.
Poa shukran kwa info .



Kwenye interview watendaji watatifanyia usahili ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…