Mijadala Migumu
JF-Expert Member
- Apr 17, 2022
- 380
- 422
Hapo kwenye dole gumba la mdhamin ni biometric au?Kwenye system hakuna sehemu ya kujaza kazi au wadhifa wa mzamini Kuna majina matatu namba na email then form ukiidownload inaongezeka sehemu ya mkoa anakaa wilaya, kata na mataa na sehemu ya dole gumba hakuna sehemu ya wadhifa
NB: Kama unauwezo wa kuwapata hao wenye wadhifa watafute tu mkuu huwezi jua huenda wakaongeza ubora wa maombi Yako hahahahaha
Hapo anatia saini na dole gumba tu kawaida Kama una wino wa mhuri anachovya then anaweka hapo kwenye sehemu ya dole gumba Kama huna wino chukua dole gumba lake chora na kalamu mpka likolee then weka hapoHapo kwenye dole gumba la mdhamin ni biometric au?
Sizani mkuu serikali inajua Kuwa vijana hatuna makazi ya kudumu Bado tunatafuta so ukiapply haikataiMFANO UPO MKOA A , ILA USAJILI WA NAMBA YA NIDA ULIFANYIA PINDI UPO MKOA B , JE HAPO HAHITALETA TATIZO KWENYE. UCHAKATUZU WA MAKAAZI YA MWOMBAI THEN UNATOLEWA ?
No results found.najua unatumia crome click hizo dot tatu hapo juu uweke katika mfumo wa desktop mode utaona hizo erros.
hapo inakwambia kuna vipengele hujajaza.
Tafuta wenye E mailWadhamin kama hawan email tunawafanyaje wadau
Boss, ukimfata mdhamini then akakuambia hana Email, huyo achana nae hayuko serious na hana uwezo wa kukusaidia kwa lolote lileWadhamin kama hawan email tunawafanyaje wadau
Yeyote ila sio ndugu/marafikiNaomba kujua wadhamini wanaotakiwa hapo wanatakiwa kuwa na sifa zipi
Kwa kichekesho kingine kama hiki tubonyeze ngapi.?Dodoso kubwa ni 90000 kwa siku
Nisaidie kwenye kipengele Cha kujaza wilaya, halimashauri, Jimbo na kata Mimi inaniandikia results not foundWanatumia muda gani kutuma password maana nimetuma maombi ila Bado email sijapata
Same hereKipengele Cha wilaya, halimashauri, pamoja na Jimbo kwangu havionekani
Unakuwaje kwa wale mliofanikiwa
Msaada tafadhali
Refresh ni mtandao,au badilisha mkoa ikikubali rudia tena kuweka mkoa unaotakaNisaidie kwenye kipengele Cha kujaza wilaya, halimashauri, Jimbo na kata Mimi inaniandikia results not found
Muda huohuo ukimaliza tuu system inagenerate pasword nakutumaWanatumia muda gani kutuma password maana nimetuma maombi ila Bado email sijapata
Upotoshaji😁😃Watu wameshaenda kwenye semina tokea jana. Kuna chalii nipo nae kitaa kaondoka jana kwenda kwenye semina Iringa. Hilo tangazo ni geresha tu
Si amigowadau leo kuna amabye amaefanikiwa kufungua sehemu ya kuattach signed form
Ukishatuma unapata ujumbe gani? Maana kwangu inaandika "your file couldn't be accessed"Muda huohuo ukimaliza tuu system inagenerate pasword nakutuma
Kalani,wasimamizi ni wachache.Kalani wa sensa na msimamizi wa sensa nafasi Gani hapo itakua na uhitaji wa idadi kubwa ya watu naamanisha kuajiliwa msaada tafadhali