hii imefanyika au mimi ndio sina habari
Interview ilikua ni 29 may - 16 junehii imefanyika au mimi ndio sina habari
Ratiba ipo nyuma niliwaambia nikaona nisibishane na nyie ilikuwa niwachape vibaoInterview ilikua ni 29 may - 16 june
Hahahahaa [emoji23][emoji23]hii ratiba ni kwamba ipo nyuma ama Mimi ndo sjui maana ya usailiView attachment 2267078
Ulikua sahihi mimi skugundua mapema kumbe basi mkeka unaweza kutoka ata julyRatiba ipo nyuma niliwaambia nikaona nisibishane na nyie ilikuwa niwachape vibao
Hakuna kitu kama hicho,sema sababu kila mmoja anaweza kuchapa na kutengeneza Graph paper kama hiyo wapo wataoamini[emoji1]Ratiba ipo nyuma niliwaambia nikaona nisibishane na nyie ilikuwa niwachape vibao
Ndiyo ilitakiwa iwe hivyo, nahisi kuna kitu kinakwamisha mchakato.Hakuna kitu kama hicho,sema sababu kila mmoja anaweza kuchapa na kutengeneza Graph paper kama hiyo wapo wataoamini[emoji1]
Ilikuwa ni hiyoHakuna kitu kama hicho,sema sababu kila mmoja anaweza kuchapa na kutengeneza Graph paper kama hiyo wapo wataoamini[emoji1]
Majina gani?Wazee wa Ramli njooni majina yametoka mmeanza kukimbia niliwambia [emoji3][emoji3]
Hamna kitu mkuuWazee wa Ramli njooni majina yametoka mmeanza kukimbia niliwambia [emoji3][emoji3]
Hakuna kituMajina gani?
Ayo majina gan kila siku yanatokaWazee wa Ramli njooni majina yametoka mmeanza kukimbia niliwambia [emoji3][emoji3]
Hawa watu Moderator huwaoni?Wazee wa Ramli njooni majina yametoka mmeanza kukimbia niliwambia [emoji3][emoji3]
Mimi nikiona post yako yeyote huwa naipuuza coz najua bado upo kwenye stage za mwisho za Puberty hivyo dishi lako halijakaa sawa.Wazee wa Ramli njooni majina yametoka mmeanza kukimbia niliwambia [emoji3][emoji3]
Ng'ombeMimi mtendaji nina ugomvi naye kisa mwanamke hapendwi anahonga tu na ana wivu kisenge
Sema hili halinitishi uzuri kwenye kamati hawezi kuwa pekee yake na hajui majina yangu matatu na hajui kama nimeomba na sidhani kama wanizakugua fomu ukikusanya wanazitupa huko
Sema nini wana ktk utafutaji hasa vijana tulioingia kitaa hatuna mkono wa kutushika tuwe makini na wanawake tuwaepuke kama utaweza
Sio kila alieko kwenye puberty dish lake halija kaa sawa mkuu.Mimi nikiona post yako yeyote huwa naipuuza coz najua bado upo kwenye stage za mwisho za Puberty hivyo dishi lako halijakaa sawa.
Majina ya walioitwa kwenye usaili selikalini katika halmashauri ya jiji la DSMMajina gani?