Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

[emoji1787][emoji1787] na watatukoma we waache watucheleweshe kuingia kwenye system
 
[emoji1787][emoji1787] na watatukoma we waache watucheleweshe kuingia kwenye system
Actually Mimi sio mwizi wale mdokozi.. So hata nikiwa huko Serikalini kwenye nyadhifa fulani naamini nitakuwa mzalendo sana katika majukumu yangu.. mwenyewe nijikubali sana coz hata kwenye level zangu za kielimu nishashika nafasi mbalimbali za kiuongozi na kazi ilikuwa inafanyika patriotically
 
Mkuu fanya kweli tuishi nazo hizo VPN mtelezo maisha magumu bila kitonga life litazidi ngumu zaidi sensa nao wanatufanya tuishi kwa matumaini
 
Mtakuja kuguswa tundu dogo sababu ya shida.

kuweni watulivu
Brother hivi unahisi kupelekewa moto ni rahisi ivyo?
By the way mtendaji wangu ni pisi kali wote wawili wa mtaa na kata.
Angekua mwanaume ingekua rahisi zaidi sasa.

Don't be negative kiasi kuwaza naweza toa ndogo ndugu.
 
Nadhani ni kutoka nbs,wizara ya fedha na halmadhauri.
Niliona kwenye muongozo nahisi ila am not sure.
Kazi zetu zilikuwa tehama,maudhui na karani
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Tafadhali mm sijaomba nimetaka kujua tu criteria iliyotumika kuwapata hao wakufunzi, maana kama wamepelekwa kusoma ili kuwafundisha vijana watakaopewa kazi ya kuhesabu watu kwann na wao wasiombe kazi hiyo ya ukufunzi??
 
Nadhani ni kutoka nbs,wizara ya fedha na halmadhauri.
Niliona kwenye muongozo nahisi ila am not sure.
Kazi zetu zilikuwa tehama,maudhui na karani
Hapo kupata ilikuwa hadi connection. Unakumbuka kuna kazi walitangaza zile za kuandaa maeneo watu 300? Majina walioitwa kwenye usaili ulisikia walioitwa? Nafasi zilikuwa chache na kigezo kilikuwa elimu kuanzia form four. Kwa hiyo isingekuwa rahisi kuchambua watu wote kwa kigezo hicho.
 
Brother hivi unahisi kupelekewa moto ni rahisi ivyo?
By the way mtendaji wangu ni pisi kali wote wawili wa mtaa na kata.
Angekua mwanaume ingekua rahisi zaidi sasa.

Don't be negative kiasi kuwaza naweza toa ndogo ndugu.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kwani kutoa ndogo ndio mkuu ?
 
Imekuwa vigumu kukujua kumbe umebadili jina lako lenye unyama mwingi @Kwibonelwa sasa umekuja na jina jipya ambalo ni vigumu kupata watoto wakali humu.
Alaumiwe mshauri,hapo ana attract kitu kingine kabisa na sio pisi ya kwenda
 
Ndugu zangu, atakae bahatika kupata nafasi itamfungulia milango, sitaki kwenda deep ila niwaambie... POSHO NI MLIMA..plus kuna certificates mtapata kama recognition utaweza tumia sehem mbalimbali.. Goodluck to you guys..
Ebu naomba utiririke kidogo kaka inaonekana una vitu vya kuzungumza zungumza..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…