Mkuu uko jkon ulipo wanasema majina yanatoka lini?Ndugu zangu, atakae bahatika kupata nafasi itamfungulia milango, sitaki kwenda deep ila niwaambie... POSHO NI MLIMA..plus kuna certificates mtapata kama recognition utaweza tumia sehem mbalimbali.. Goodluck to you guys..
Nimechunguza mkuu ni sikio ndio tundu dogo kuliko vyote mwilini ikifuatiwa na puaJichunguze ukiona kitundu kidogo kuliko vyote ndio icho icho [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] it is called ndogo for reason my friend
Hivi kuna watu wanatumiaga mb za kununua mpk serekali hii Mimi mara ya mwisho niliishiaga awamu ya kwanza ya maguMkuu msomali tupe hzo connection tuperuzi bure
Ndio mtupe maufundi sasaHivi kuna watu wanatumiaga mb za kununua mpk serekali hii Mimi mara ya mwisho niliishiaga awamu ya kwanza ya magu
Tupia maconnectionNdio mtupe maufundi sasa
🤝Ndugu zangu, atakae bahatika kupata nafasi itamfungulia milango, sitaki kwenda deep ila niwaambie... POSHO NI MLIMA..plus kuna certificates mtapata kama recognition utaweza tumia sehem mbalimbali.. Goodluck to you guys..
Sawa njomba Kenge.Usikose bando kesho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa njomba Kenge.
Ramli chonganishiUsikose bando kesho
Mimi mwenyewe nayasubir wadau wako kimya sanaTupia maconnection
Mkuu naomba uje Pam basi unipe maudambwiudambwi na mie.. sio dhambi kama hapa unaona utamwaga mcheleHivi kuna watu wanatumiaga mb za kununua mpk serekali hii Mimi mara ya mwisho niliishiaga awamu ya kwanza ya magu
Hahaha ramli kama ramli nyingineNdugu zangu, atakae bahatika kupata nafasi itamfungulia milango, sitaki kwenda deep ila niwaambie... POSHO NI MLIMA..plus kuna certificates mtapata kama recognition utaweza tumia sehem mbalimbali.. Goodluck to you guys..
Ukiipata na mimi nisogezee mazingira Pm ,unatumia mtandao gani ?Mkuu naomba uje Pam basi unipe maudambwiudambwi na mie.. sio dhambi kama hapa unaona utamwaga mchele
Jamani ebu jishughulisheniUkiipata na mimi nisogezee mazingira Pm ,unatumia mtandao gani ?
Kwani kujishughulisha kwenyewe si ndio huku ,unadhani Vpn zinatumiwa hovyo tu ?watu kwenye Vpn wanatumia akili kucheza na setting na kuvumbua maujanja kama mtu anavyoumiza kichwa kutrade forex .Jamani ebu jishughulisheni
Au sio....Amini amini nawaambia haita Isha week kuanzia leo majina yatakua mtandaoni,[emoji505]