bravocharlie
JF-Expert Member
- Feb 1, 2020
- 861
- 857
Ukitaka kwenda ulaya unafata tu process mzee,ila pia ni kujikita kwenye jambo lako moja hakika utafanikiwa kwa neema ya mwenyezi Mungu.Hapa ndo umenithihirishia watendaji lazima waweke misukule yao kumamake hii nchi ipo siku nitaikimbia mazima nikafie tu mbele
Cha muhimu ni kuwa na subira tuUpo sahihi sana, lakini kutembea mtaani kila nyumba sio kazi ndogo kama usemacho wewe hapo pia kukaa siku 21 pengine itatupunguzia ukali wa maisha vijana majobless usiseme kufuja pesa utakua unakosea hizo pesa wasipotupa sisi watakula tu wengine mpango miaka 10 kuna sponsors wameweka pesa unahisi wakisema wasitugee sisi vijana itaenda wapi?
Kama umeomba hii tutaona kulikua na umuhimu au la wa siku 21 za semina,napokua nilisikia kwa mbaaaaali zimekua siku 15.
kinachokusikitisha nini sasa unabishana na wana arts wakati we ni wa biz au sayansiInasikitisha sana
Wewe jamaa mbona upo against na semina siku 21?
Huu ni mfumo mpya tunaanza tumia plus semina sio mafunzo naona una changanya hapo mzee,hao wakufunzi wamekaa two weeks kwenye semina wewe unahisi sisi siku 21 haiwezekani?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tutaaminije????yani Kuna kipi umeweka kama ushahidi tujue hii sio kahawaKwa mamlaka waliyopewa Nbs kutengeneza recruitment portal watu wakaomba nafasi kilichofuata ni nbs kukabidhi uandaaji wa majina kwa Kamati ya wilaya.. Sasa nini kikechelewesha majina kutoka?! Mpaka sasa kamati ime delay kutoa majina na wameandikiwa barua jana,
Plus kuna hili litawashtua wengi, kuna possibility kubwa ya vijana wengi kuliwa vichwa, why?! Ni kwamba kati ya watu wamepewa kipaumbele baadhi yao ni walishiriki sensa iliyopita na walio shiriki zoezi la postcode... Although haimaanishi watu watakosa no ila vichwa vitaliwa vingi..
Wamepewa wiki moja kukamilisha majina..
Naomba, yaishia hapa haya..
Sio lazima uamini mkuu.. Huoni nikikuaminisha nitakua rehani?!! So unaeza liacha piaTutaaminije????yani Kuna kipi umeweka kama ushahidi tujue hii sio kahawa
Je kutakuwa na usaili kweli? Au waliochaguliwa wataenda moja kwa moja kwenye semina?Kwa mamlaka waliyopewa Nbs kutengeneza recruitment portal watu wakaomba nafasi kilichofuata ni nbs kukabidhi uandaaji wa majina kwa Kamati ya wilaya.. Sasa nini kikechelewesha majina kutoka?! Mpaka sasa kamati ime delay kutoa majina na wameandikiwa barua jana,
Plus kuna hili litawashtua wengi, kuna possibility kubwa ya vijana wengi kuliwa vichwa, why?! Ni kwamba kati ya watu wamepewa kipaumbele baadhi yao ni walishiriki sensa iliyopita na walio shiriki zoezi la postcode... Although haimaanishi watu watakosa no ila vichwa vitaliwa vingi..
Wamepewa wiki moja kukamilisha majina..
Naomba, yaishia hapa haya..
Swali!!! hivi kitongoji kimoja kinatakiwa kuwa na makarani wangapi watakaohusika kuhesabu?Sio lazima uamini mkuu.. Huoni nikikuaminisha nitakua rehani?!! So unaeza liacha pia
Usiwaze, wewe weka attachments, kwani sunatumia fake ID unaogopa niniSio lazima uamini mkuu.. Huoni nikikuaminisha nitakua rehani?!! So unaeza liacha pia
Aache uzwazwa huyo anataka apunguze pesa zetuWewe jamaa mbona upo against na semina siku 21?
Huu ni mfumo mpya tunaanza tumia plus semina sio mafunzo naona una changanya hapo mzee,hao wakufunzi wamekaa two weeks kwenye semina wewe unahisi sisi siku 21 haiwezekani?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapa mwanetu kunguru ana asilimia kubwa ya kutoboa ..Kwa mamlaka waliyopewa Nbs kutengeneza recruitment portal watu wakaomba nafasi kilichofuata ni nbs kukabidhi uandaaji wa majina kwa Kamati ya wilaya.. Sasa nini kikechelewesha majina kutoka?! Mpaka sasa kamati ime delay kutoa majina na wameandikiwa barua jana,
Plus kuna hili litawashtua wengi, kuna possibility kubwa ya vijana wengi kuliwa vichwa, why?! Ni kwamba kati ya watu wamepewa kipaumbele baadhi yao ni walishiriki sensa iliyopita na walio shiriki zoezi la postcode... Although haimaanishi watu watakosa no ila vichwa vitaliwa vingi..
Wamepewa wiki moja kukamilisha majina..
Naomba, yaishia hapa haya..
Kwahyo unataka kusema ilo li portal ulilotengeneza halichagui majina na hata usipochaguliwa kuna uwezekano ukawepo .... kwa maana kamati ya wilaya ndio inachugua majina ?Kwa mamlaka waliyopewa Nbs kutengeneza recruitment portal watu wakaomba nafasi kilichofuata ni nbs kukabidhi uandaaji wa majina kwa Kamati ya wilaya.. Sasa nini kikechelewesha majina kutoka?! Mpaka sasa kamati ime delay kutoa majina na wameandikiwa barua jana,
Plus kuna hili litawashtua wengi, kuna possibility kubwa ya vijana wengi kuliwa vichwa, why?! Ni kwamba kati ya watu wamepewa kipaumbele baadhi yao ni walishiriki sensa iliyopita na walio shiriki zoezi la postcode... Although haimaanishi watu watakosa no ila vichwa vitaliwa vingi..
Wamepewa wiki moja kukamilisha majina..
Naomba, yaishia hapa haya..
Mzee postikodi ni tofauti na sensa na kama ndio hivyo nishazinguana na mtendaji sa itakuajeHapa mwanetu kunguru ana asilimia kubwa ya kutoboa ..
Tukimaliza sensa tunakutana wapi kumwagilia moyo?Aache uzwazwa huyo anataka apunguze pesa zetu
Siku zikiwa nyingi more money more mpunga [emoji3][emoji3]
UtapataMzee postikodi ni tofauti na sensa na kama ndio hivyo nishazinguana na mtendaji sa itakuaje
Bora hata kwenye fomu ningejaza mtaa mwengine
Kunguru aache kuiba mifupa na chupi za akina Kapeace aende kuhesabu sensa?Utapata
😅😅😅Huyo kunguru ataunguza picha kama ngoswe,, halafu mi sivaagi chupi na wewe umenitag kimakosa