bravocharlie
JF-Expert Member
- Feb 1, 2020
- 861
- 857
Ukitaka kwenda ulaya unafata tu process mzee,ila pia ni kujikita kwenye jambo lako moja hakika utafanikiwa kwa neema ya mwenyezi Mungu.Hapa ndo umenithihirishia watendaji lazima waweke misukule yao kumamake hii nchi ipo siku nitaikimbia mazima nikafie tu mbele
Hata ulaya kuna matatizo ya ulaya ulaya ndugu