Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Tuonane Royal jioni nikupe bia ndugu ndege JOHN
 
"Serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania ilikamilisha taratibu za kupokea maombi ya muda za makarani na wasimamizi wa sensa ya watu na makazi kupitia mfumo wa maombi wa kielectroniki tarehe 19 Mei 2022.

Mchakato huu uko katika hatua mbali mbali za utekelezaji ambapo utakapokamilika, Wakufunzi hawa wa sensa ya watu na makazi wa ngazi ya taifa yaani hawa wanaohitimu leo watakwenda kuwafundisha wale kwenye ngazi za mikoa na wale wa ngazi za mikoa na wenyewe wataenda kuwafundisha wa chini yao"

Hayo yamesemwa leo kwenye Hafla ya kufunga mafunzo ya wakufunzi wa Sensa Ngazi ya Taifa na Mh. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu)
 
Hawa makarani wenyewe majina yao watayakuta ofisi za kata husika. Huwezi kuona jina ktk wavuti ya NBS wakati hujafanyiwa usaili katani. Vijana tulizeni munkali, afu seminar ya makatani itaanza July 27. Muda huu njooni ukute tunavua ziwani
 
Wewe ndio utulize munkari na uandike vizuri kwani post yako inamakosa kibao ya kiuandishi mfano; Makatani=Makarani ,seminar=semina ,afu=halafu
 
Hii issue tunaweza kujipa moyo tukashangaa inaisha kimya kimya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawa makarani wenyewe majina yao watayakuta ofisi za kata husika. Huwezi kuona jina ktk wavuti ya NBS wakati hujafanyiwa usaili katani. Vijana tulizeni munkali, afu seminar ya makatani itaanza July 27. Muda huu njooni ukute tunavua ziwani
Hii ramli kama kweli vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…