Mchunguzi Fukara
JF-Expert Member
- Dec 23, 2021
- 215
- 274
Nbs asanteh mmefanya vijana leo waangalie Tbc liveTBC inarusha matangazo ya kufunga mafunzo ya kitaifa kwa wakufunzi wa sensa leo muda huu kama uliomba fatilia ili upate habari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nbs asanteh mmefanya vijana leo waangalie Tbc liveTBC inarusha matangazo ya kufunga mafunzo ya kitaifa kwa wakufunzi wa sensa leo muda huu kama uliomba fatilia ili upate habari
Kama nimemuelewa vizuri simba chawene, anasema hao waliohitimu mafunzo ya kitaifa wataenda kuwapa semina ngazi ya mkoa, baada ya hapo ndio yaje mafunzo ngazi ya chini.
Ndo kitakuwa kipindi cha mchakato wa usaili hicho ngazi ya chiniKama nimemuelewa vizuri simba chawene, anasema hao waliohitimu mafunzo ya kitaifa wataenda kuwapa semina ngazi ya mkoa, baada ya hapo ndio yaje mafunzo ngazi ya chini. Kwahiyo muendelee kusubiri
Mkuu, yaani umewaza kama ambavyo nimewaza toka wiki ilopita. Sijui itakuaje.Interview za utumishi zinakuja kuvurugia watu ratiba sasa ndio utachagua kusuka au kunyoa [emoji1787]
Tuonane Royal jioni nikupe bia ndugu ndege JOHNAsante mkuu kwa kunielewa usalama wa taifa wametanda kila mahali na hasa ukizingatia unyeti wa jambo hili la kitaifa...ngoja nikupe stori moja Mimi ilinitokea..Mimi NI mtumishi wa umma taasisi flan ya Kanda flan ikiwa chini ya wizara flan Sasa Kuna siku bhana moja ya wakala zetu wakatupa kazi tuwafanyie lengo pasu kwa pasu nadhani unaelewa mambo ya kufunga mwaka wa fedha,kosa nililofanya NI kumwambia TU rafiki yangu juu ya pesa ambayo ningeipata it was around 3 M.. huwezi amini rafiki yangu alilewa siku iliyofuata Mimi kwenda bar kumfuata ile kuniona TU kaanza kuropoka oya ndege week ijayo unapiga hela blah blah za kilevi unajua...kumbe usalama umetanda Sana huwezi amini jumatatu yake tulipata shida balaa Mara takukuru waje watukague mpk dakika ya mwisho kazi ikaingia nongwa na wakanionya Sana juu ya kutoa Siri za ofisi just imagine rafiki yangu kuropoka Tena sio bar kubwa NI kwenye ka grocery TU ndo maana nakwambia usichukulie poa kutoa Siri Kama hizi...nasema yote haya kwa kuwa umeweka picha yako katika avatar hivyo NI rahisi Sana wazee wa kitengo kupitia pitia Uzi huu na ukapata shida.
Yaani mimi mwenyewe nawazia hapaMkuu, yaani umewaza kama ambavyo nimewaza toka wiki ilopita. Sijui itakuaje.
Kwani mmeitwa utumishi interview siku gani..?Mkuu, yaani umewaza kama ambavyo nimewaza toka wiki ilopita. Sijui itakuaje.
afu seminar ya makatani itaanza July 27.
July 27Na semina ya makarani itaanza lini mkuu? au hiyo hiyo July 27?
Wewe ndio utulize munkari na uandike vizuri kwani post yako inamakosa kibao ya kiuandishi mfano; Makatani=Makarani ,seminar=semina ,afu=halafuHawa makarani wenyewe majina yao watayakuta ofisi za kata husika. Huwezi kuona jina ktk wavuti ya NBS wakati hujafanyiwa usaili katani. Vijana tulizeni munkali, afu seminar ya makatani itaanza July 27. Muda huu njooni ukute tunavua ziwani
Hii issue tunaweza kujipa moyo tukashangaa inaisha kimya kimya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"Serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania ilikamilisha taratibu za kupokea maombi ya muda za makarani na wasimamizi wa sensa ya watu na makazi kupitia mfumo wa maombi wa kielectroniki tarehe 19 Mei 2022.
Mchakato huu uko katika hatua mbali mbali za utekelezaji ambapo utakapokamilika, Wakufunzi hawa wa sensa ya watu na makazi wa ngazi ya taifa yaani hawa wanaohitimu leo watakwenda kuwafundisha wale kwenye ngazi za mikoa na wale wa ngazi za mikoa na wenyewe wataenda kuwafundisha wa chini yao"
Hayo yamesemwa leo kwenye Hafla ya kufunga mafunzo ya wakufunzi wa Sensa Ngazi ya Taifa na Mh. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu)View attachment 2278219
Umeitoa wapi hii mkuuKwan haya majina ni ya nini wakuu?View attachment 2277775
Hahahaha wanasema mguu nje mguu ndaniHii issue tunaweza kujipa moyo tukashangaa inaisha kimya kimya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ramli kama kweli vileHawa makarani wenyewe majina yao watayakuta ofisi za kata husika. Huwezi kuona jina ktk wavuti ya NBS wakati hujafanyiwa usaili katani. Vijana tulizeni munkali, afu seminar ya makatani itaanza July 27. Muda huu njooni ukute tunavua ziwani
Hii Ramli chonganishi nayoHawa makarani wenyewe majina yao watayakuta ofisi za kata husika. Huwezi kuona jina ktk wavuti ya NBS wakati hujafanyiwa usaili katani. Vijana tulizeni munkali, afu seminar ya makatani itaanza July 27. Muda huu njooni ukute tunavua ziwani
Hatujui kinachoendelea na wao wamekausha si ajabu hata hawajaanza kuchakata majina[emoji23]Hahahaha wanasema mguu nje mguu ndani
Noma sana mkuuHatujui kinachoendelea na wao wamekausha si ajabu hata hawajaanza kuchakata majina[emoji23]
Wapumbafu sana hawa wanatufanya tunaishi kwa matumaini kama waathirika wa VVU inasikitisha sana [emoji1784][emoji1784]Hii issue tunaweza kujipa moyo tukashangaa inaisha kimya kimya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]