Mohamedmteleke
Senior Member
- Mar 21, 2019
- 137
- 172
SawaAcha ushamba wa kutukana hovyo wewe ,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaAcha ushamba wa kutukana hovyo wewe ,
Jaribu kuingiza mkoa tofaut halafu Rudi Tena kubadilsha ili kuweka mkoa wako hizo tarafa zitaonekanaMimi najaza wee nikifika halmashauri sioni zikijitokeza,nakosea wapi?
SawaKwann asiwe mdhamini Kwan Kuna vigezo vya wadhamini wameweka mi mwenyewe nimemuweka mke wangu na mama yangu....!!!!
Au hujui maana ya mdhamini...???
Soma hapa uelewe
View attachment 2219366
Baada ya S anza na zeroNapata error
Wakati cheti cha kajomba changu kiko pembeni na naiona kwa macho wakati najaza. Format ya number ni S1111-1111. Msaada
- Namba ya mtihani kidato cha nne (Mfano:S1234-0012-2006) is invalid.
Mbona kama unampoteza shule zenyew hata kwenye makumi elfu hazijafika Ndo kwanza tupo kwenye maelfuBaada ya S anza na zero
Nisaidie iyo namba ulio tumia kupigaMimi ilinipata nikawapigia simu wakanitajia password yangu,piga simu japo kuwapata itabidi uwe mvumilivu maana muda mwingi simu zao zipo bize
0678 467 663Nisaidie iyo namba ulio tumia kupiga
Milioni ndogo mbonaKuna uwezekano mkubwa wa idadi ya waombaj kufika milion
Zipo 3ndugu zangu nyie mnapataje page 4 za ile form Na.1 mimi napata 2 tu
Nimefanikiwa kuliona ilikuwa kwenye GmailWadau nimesahau password, msaada
Siku ya kwanza nadhan mpka siku ya nne mbele zilikuwa znatoka page 4 ,lakin zile page 4 zilikuwa zinaonesha udhaifu fulani Hv so wamepunguza hzo page Kwahyo kila mtu atafuata utaratibu huzika.ndugu zangu nyie mnapataje page 4 za ile form Na.1 mimi napata 2 tu
Hhahaha hii namba kidogo anahuruma0678 467 663
Nyie subirini sensa ijayoSwali; kwa wale ambao hatuna namba za nida tunafanyaje kukamilisha maombi? Maana wengine ndio tumefikisha 18 mwaka jana.
Aisee[emoji23][emoji28][emoji28]Takwimu za jana zinaonesha MIJITU ILIOKUWA HAINA AJIRA NDIO INAONGOZA KUOMBA ZOEZI LA SENSA NI 58,916 mpaka jana