Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Napata error
  • Namba ya mtihani kidato cha nne (Mfano:S1234-0012-2006) is invalid.
Wakati cheti cha kajomba changu kiko pembeni na naiona kwa macho wakati najaza. Format ya number ni S1111-1111. Msaada
Baada ya S anza na zero
 
ndugu zangu nyie mnapataje page 4 za ile form Na.1 mimi napata 2 tu
 
Mimi wananiambia namba ya form four imesha tumika ila kwenye email hakuna kitu sijatumiwa chochote Alie pita hapo msaada tafadhali
 
ndugu zangu nyie mnapataje page 4 za ile form Na.1 mimi napata 2 tu
Siku ya kwanza nadhan mpka siku ya nne mbele zilikuwa znatoka page 4 ,lakin zile page 4 zilikuwa zinaonesha udhaifu fulani Hv so wamepunguza hzo page Kwahyo kila mtu atafuata utaratibu huzika.
 
Iv ukiupdate taarifa ni unaanza tena upya kudownload form mfn uku update namba ya nida
 
Back
Top Bottom