Twinawe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2016
- 2,431
- 5,336
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaangalizia kupitia website/blog gani mkuu?Kuna mdau alisemaga sitapata, Nika promise ntakuja kusema hapa,ajiandae naona mkeka wa ilala unaload sana ukitoka tu ntakuja sema hapa haoa.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Ngoja nikakufatie mahaliUkipata wa ubungo utume humu mkuu
fanya tuonane madam S,nipo makorora apaTanga
Nasikilizia tu kwa wadau telegramUnaangalizia kupitia website/blog gani mkuu?
Hongera sana,pande zipi?Nimetusua wakuu, nimepata ukarani, mungu ni mwema
Uliomba ukarani au usimamizi?Nimetusua wakuu, nimepata ukarani, mungu ni mwema
Hongera umepambana sana .#JobulesiHoyeee!!!Nimetusua wakuu, nimepata ukarani, mungu ni mwema
Ubarikiwe mkuu....ukitusaidia kata ya Sinza na Manzese tutashukuru.
Mbona hamna kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2305775
Kwani form 4 hawatakiwi kuwa makarani? Acheni kulalamika kwahiyo dogo kisa baba ake ni diwani mnataka asiombe au?connection nyingi zimetumika mzee,wala hamna cha kuangalia mtu kafeli wala nini,,,kuna mtu form 4 kapata 4 ya mwisho lakn kachaguliwa kisa baba yake ni diwani
Wanazingua sana. Yaani ukiwa na baba Mbunge/Waziri ins mana wewe hutakiwi kuomba ajira.Kwani form 4 hawatakiwi kuwa makarani? Acheni kulalamika kwahiyo dogo kisa baba ake ni diwani mnataka asiombe au?
Mkuu hamna ulichowekq hqpa
Nikipata ntatuma humuUbarikiwe mkuu....ukitusaidia kata ya Sinza na Manzese tutashukuru.