Zingzingzing
JF-Expert Member
- May 13, 2014
- 735
- 667
Huku songea watu wanakula na 10000 ya nauli kwa siku 5Za chn chn ni 80, siku 6,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku songea watu wanakula na 10000 ya nauli kwa siku 5Za chn chn ni 80, siku 6,
Mbona unalia lia na povu linakutoka kwani ile 950k uliyopewa huko Mbeya imeshaisha mpaka unataka na ya DarKuna uhuni leo hapa Duce wamewaa biwa wafungue Account CRDB then wametoka 0-0 inshort mpaka muda huu Serikali imefanya Mambo yasiyo ya kibinadamu na sijui Nani yupo Nyuma ya huu uhuni
Vishikwambi hawajapewa
Posho 0-0
Siku 11
Hapa dsm nadhani kila mtu anajua Maisha yalivyo na gharama then Mtu kila siku anakuja ktk Mafunzo we unaishia kumnyima haki yake na yupo na Familiya
Mbaya zaidi hawa Walimu most of them Ni brainwashed they know nothing about life
Na hawa form four hawana akili za kuhoji na darasa la saba.
Kama hali inaendelea hivi natabiri ili zoezi kuwa la hovyo .
Pathetic
Tumekusikia,2032 hakuna mwalimu atakayeomba.Walimu wa hii nchi mpunguze tamaa hizi ajira mngetuachia vijana tusio na muelekeo mpaka sasa, tupate walau pesa za mitaji. Kila Mwisho wa mwezi mpo dirishani ,sisi graduates na baadhi yetu hata pesa ya kwenda chuo ilitushinda kwasababu ya kukosa mikopo mumetuzibia rizki. Hii Kwa mungu na hata kwa shetani haifurahishi. Mpo mpo tu kazi kuuliza maswali yasiyo na msingi kwenye semina sababu mnajihisi mnaexposure kubwa ya mambo, lakini walio wengi wanawaona kama majinga majinga.
Mnapenda kutuprove mnajua vitu , lakini kumbe ndio mnajidhihirisha kuwa mlio wengi ni weupe kichwani.
(Samahan kama nimetumia lugha mbaya)
HITIMISHO
IFIKE HATUA MBADILIKE NA MUACHE TAMAA.
Tumekusikia,2032 hakuna mwalimu atakayeomba.
Walimu wa hii nchi mpunguze tamaa hizi ajira mngetuachia vijana tusio na muelekeo mpaka sasa, tupate walau pesa za mitaji. Kila Mwisho wa mwezi mpo dirishani ,sisi graduates na baadhi yetu hata pesa ya kwenda chuo ilitushinda kwasababu ya kukosa mikopo mumetuzibia rizki. Hii Kwa mungu na hata kwa shetani haifurahishi. Mpo mpo tu kazi kuuliza maswali yasiyo na msingi kwenye semina sababu mnajihisi mnaexposure kubwa ya mambo, lakini walio wengi wanawaona kama majinga majinga.
Mnapenda kutuprove mnajua vitu , lakini kumbe ndio mnajidhihirisha kuwa mlio wengi ni weupe kichwani.
(Samahan kama nimetumia lugha mbaya)
HITIMISHO
IFIKE HATUA MBADILIKE NA MUACHE TAMAA.
Kuna mambo ya hovyo sana yanaendela mpk sasa hatujajibiwa awamu ya pili lini siku ya 11 leoHaya wazee wa Ramli mje mtupe Ratiba Muamala wa Pili utasomeka Tarehe Ngapi
Mbinu ya kuwapa hela mwishoni inaumiza sana ila wakati mwingine inatakiwa iwe hivyo kwani kuna watu ukiwapa hela yote kesho hawatakuja visingizio vingi mara naumwa, Mtoto anaumwa, Nakwenda kuhudhuria mazishi.NBS ingewapa vijana pesa ya siku 10 yaan 400k baadhi yenu mngekimbia na msingerudi kuendelea na mafunzo....kupewa tu 200k watu.wamepungu mafunzo average kila darasa la wati 150 hawapo watu 5...
Unateseka ukiwa wapi?Walimu wa hii nchi mpunguze tamaa hizi ajira mngetuachia vijana tusio na muelekeo mpaka sasa, tupate walau pesa za mitaji. Kila Mwisho wa mwezi mpo dirishani ,sisi graduates na baadhi yetu hata pesa ya kwenda chuo ilitushinda kwasababu ya kukosa mikopo mumetuzibia rizki. Hii Kwa mungu na hata kwa shetani haifurahishi. Mpo mpo tu kazi kuuliza maswali yasiyo na msingi kwenye semina sababu mnajihisi mnaexposure kubwa ya mambo, lakini walio wengi wanawaona kama majinga majinga.
Mnapenda kutuprove mnajua vitu , lakini kumbe ndio mnajidhihirisha kuwa mlio wengi ni weupe kichwani.
(Samahan kama nimetumia lugha mbaya)
HITIMISHO
IFIKE HATUA MBADILIKE NA MUACHE TAMAA.
Hilo kila mtaa ni karani mmoja, kata ina mitaa 4 kwahyo makarani wa4, hamuwez kwenda wote.Huku tumeambiwa dodoso la jamii watafanya semina watu wachache vipi tu hapa kuna harufu ya upigaji kwann si wote Alafu wakwenda kufanya ndiyo wawe wachache, wanataka wale pesa za makarani nn
Hamna hujatumia lugha chafu umegusa mulemuleWalimu wa hii nchi mpunguze tamaa hizi ajira mngetuachia vijana tusio na muelekeo mpaka sasa, tupate walau pesa za mitaji. Kila Mwisho wa mwezi mpo dirishani ,sisi graduates na baadhi yetu hata pesa ya kwenda chuo ilitushinda kwasababu ya kukosa mikopo mumetuzibia rizki. Hii Kwa mungu na hata kwa shetani haifurahishi. Mpo mpo tu kazi kuuliza maswali yasiyo na msingi kwenye semina sababu mnajihisi mnaexposure kubwa ya mambo, lakini walio wengi wanawaona kama majinga majinga.
Mnapenda kutuprove mnajua vitu , lakini kumbe ndio mnajidhihirisha kuwa mlio wengi ni weupe kichwani.
(Samahan kama nimetumia lugha mbaya)
HITIMISHO
IFIKE HATUA MBADILIKE NA MUACHE TAMAA.
Kuchukia walimu ni kama kuichukia CCM.Utapata presha,vidonda vya tumbo,kisukari na Sonoma.TuliaaHamna hujatumia lugha chafu umegusa mulemule
mimi kuna ticha wa msingi ndio namla sahivi tupo naye kwenye semina namla kwa hasira kuwakilisha jobless wenzangu
anajua mimi ni mtumishi wa halmashauri nimekuja kujichomeka kwenye kata yao maana huku mi ni mgeni kwenye circle ya rfk zake kuna mmoja naona kashaanza Shobo za kujuana nae ni ticha shule moja wote naona anatafuta favour na connection zoez likiisha na lazima nipite naye hii kada nimetokea kuichukua na sitaki mwanangu aisome hii
Mbona ilikuwa wazi toka Siku ya kwanza tunaanza mafunzo kwani hamkupata ratibaRasmi watu wa dodoso la jamii wanaanza mafunzo jumanne ya tarehe 16
Sawa mwalimuKuchukia walimu ni kama kuichukia CCM.Utapata presha,vidonda vya tumbo,kisukari na Sonoma.Tuliaa
Unafikiri mwalimu hajajua kuwa wewe ni mission town?kaamua Tu mushughuliane maana mnaenda kutendana.Acha sifa za kitotoSawa mwalimu
Kilichobaki niendelee zangu ku* t*mba tu maana hakuna namna