Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Kuna uhuni leo hapa Duce wamewaa biwa wafungue Account CRDB then wametoka 0-0 inshort mpaka muda huu Serikali imefanya Mambo yasiyo ya kibinadamu na sijui Nani yupo Nyuma ya huu uhuni

Vishikwambi hawajapewa
Posho 0-0
Siku 11

Hapa dsm nadhani kila mtu anajua Maisha yalivyo na gharama then Mtu kila siku anakuja ktk Mafunzo we unaishia kumnyima haki yake na yupo na Familiya

Mbaya zaidi hawa Walimu most of them Ni brainwashed they know nothing about life

Na hawa form four hawana akili za kuhoji na darasa la saba.

Kama hali inaendelea hivi natabiri ili zoezi kuwa la hovyo .

Pathetic
Mbona unalia lia na povu linakutoka kwani ile 950k uliyopewa huko Mbeya imeshaisha mpaka unataka na ya Dar
?
 
Walimu wa hii nchi mpunguze tamaa hizi ajira mngetuachia vijana tusio na muelekeo mpaka sasa, tupate walau pesa za mitaji. Kila Mwisho wa mwezi mpo dirishani ,sisi graduates na baadhi yetu hata pesa ya kwenda chuo ilitushinda kwasababu ya kukosa mikopo mumetuzibia rizki. Hii Kwa mungu na hata kwa shetani haifurahishi. Mpo mpo tu kazi kuuliza maswali yasiyo na msingi kwenye semina sababu mnajihisi mnaexposure kubwa ya mambo, lakini walio wengi wanawaona kama majinga majinga.
Mnapenda kutuprove mnajua vitu , lakini kumbe ndio mnajidhihirisha kuwa mlio wengi ni weupe kichwani.
(Samahan kama nimetumia lugha mbaya)

HITIMISHO
IFIKE HATUA MBADILIKE NA MUACHE TAMAA.
 
Tumekusikia,2032 hakuna mwalimu atakayeomba.
 
Attachments

  • Screenshot_20220811-085648_Messages.jpg
    Screenshot_20220811-085648_Messages.jpg
    42.6 KB · Views: 11
NBS ingewapa vijana pesa ya siku 10 yaan 400k baadhi yenu mngekimbia na msingerudi kuendelea na mafunzo....kupewa tu 200k watu.wamepungu mafunzo average kila darasa la wati 150 hawapo watu 5...
 
Huku tumeambiwa dodoso la jamii watafanya semina watu wachache vipi tu hapa kuna harufu ya upigaji kwann si wote Alafu wakwenda kufanya ndiyo wawe wachache, wanataka wale pesa za makarani nn
 
Mbinu ya kuwapa hela mwishoni inaumiza sana ila wakati mwingine inatakiwa iwe hivyo kwani kuna watu ukiwapa hela yote kesho hawatakuja visingizio vingi mara naumwa, Mtoto anaumwa, Nakwenda kuhudhuria mazishi.

Tatizo ni uaminifu kwa baadhi ya watu hakuna.
 
Walimu wa hii nchi mpunguze tamaa hizi ajira mngetuachia vijana tusio na muelekeo mpaka sasa, tupate walau pesa za mitaji. Kila Mwisho wa mwezi mpo dirishani ,sisi graduates na baadhi yetu hata pesa ya kwenda chuo ilitushinda kwasababu ya kukosa mikopo mumetuzibia rizki. Hii Kwa mungu na hata kwa shetani haifurahishi. Mpo mpo tu kazi kuuliza maswali yasiyo na msingi kwenye semina sababu mnajihisi mnaexposure kubwa ya mambo, lakini walio wengi wanawaona kama majinga majinga.
Mnapenda kutuprove mnajua vitu , lakini kumbe ndio mnajidhihirisha kuwa mlio wengi ni weupe kichwani.
(Samahan kama nimetumia lugha mbaya)

HITIMISHO
IFIKE HATUA MBADILIKE NA MUACHE TAMAA.
Unateseka ukiwa wapi?
 
Huku tumeambiwa dodoso la jamii watafanya semina watu wachache vipi tu hapa kuna harufu ya upigaji kwann si wote Alafu wakwenda kufanya ndiyo wawe wachache, wanataka wale pesa za makarani nn
Hilo kila mtaa ni karani mmoja, kata ina mitaa 4 kwahyo makarani wa4, hamuwez kwenda wote.
 
Walimu wa hii nchi mpunguze tamaa hizi ajira mngetuachia vijana tusio na muelekeo mpaka sasa, tupate walau pesa za mitaji. Kila Mwisho wa mwezi mpo dirishani ,sisi graduates na baadhi yetu hata pesa ya kwenda chuo ilitushinda kwasababu ya kukosa mikopo mumetuzibia rizki. Hii Kwa mungu na hata kwa shetani haifurahishi. Mpo mpo tu kazi kuuliza maswali yasiyo na msingi kwenye semina sababu mnajihisi mnaexposure kubwa ya mambo, lakini walio wengi wanawaona kama majinga majinga.
Mnapenda kutuprove mnajua vitu , lakini kumbe ndio mnajidhihirisha kuwa mlio wengi ni weupe kichwani.
(Samahan kama nimetumia lugha mbaya)

HITIMISHO
IFIKE HATUA MBADILIKE NA MUACHE TAMAA.
Hamna hujatumia lugha chafu umegusa mulemule

mimi kuna ticha wa msingi ndio namla sahivi tupo naye kwenye semina namla kwa hasira kuwakilisha jobless wenzangu

anajua mimi ni mtumishi wa halmashauri nimekuja kujichomeka kwenye kata yao maana huku mi ni mgeni kwenye circle ya rfk zake kuna mmoja naona kashaanza Shobo za kujuana nae ni ticha shule moja wote naona anatafuta favour na connection zoez likiisha na lazima nipite naye hii kada nimetokea kuichukua na sitaki mwanangu aisome hii
 
Kuchukia walimu ni kama kuichukia CCM.Utapata presha,vidonda vya tumbo,kisukari na Sonoma.Tuliaa
 
Kuna watu walikuwa wanabisha kwamba hakutakuwepo na watu wa reserve

Walikuwa wanaamini kuna field ya Siku nyingi

Walibisha kuhusu dodoso la jamii kuhusisha makarani wachache ambao ndio watashiriki semina Kwa Siku 19

Unajikuta much know wakati kuelewa vitu vidogo vya kwenye ratiba vinakushinda kuelewa
 
Back
Top Bottom