Mr pianoman
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 2,595
- 6,264
Na ndicho kilicho fanyika kwenye huu usaili wa polisiSiku hiz hakuna hata mwenye mamlaka wa kufanya recruitment.
Hakuna cha baba kantuma, hata kama zipo sio kama zaman
Kama ingekuwa hivyo mm ningesha kuwa askari magereza
Kuna jamaa apa tanga umri miaka 26 urefu hafiki nchi futi 5 na nchi 5 ila alikuwa na connection baba kantuma siye twenye urefu futi 5 na inchi 9 tumeachwa na vigezo vyote vipo sawa .yeye kapeta huyo alikuwa wanamuhadaha tu ..ukiwa na connection hata vigezo havina nguvu me niliyoyaona nimeyaona sitaki tena kuomba kama sina connection tena na uhakikaYule binti jina lake halikutoka sijui tatizo ni nini ila nahisi ni kigezo cha urefu
Kiufupi ni mungu tuu.Kuna jamaa apa tanga umri miaka 26 urefu hafiki nchi futi 5 na nchi 5 ila alikuwa na connection baba kantuma siye twenye urefu futi 5 na inchi 9 tumeachwa na vigezo vyote vipo sawa .yeye kapeta huyo alikuwa wanamuhadaha tu ..ukiwa na connection hata vigezo havina nguvu me niliyoyaona nimeyaona sitaki tena kuomba kama sina connection tena na uhakika
Kweli ila bahati zinatengenezwa na hzo ridhkKiufupi ni mungu tuu.
Hiz zinakujaga kama ridhiki!
Punguza stress dogo,ngoja nikupe notes za stress management nahisi zitakusaidia sanaWe fala tu mmoja unafokeafokea watu.
[emoji1]Punguza stress dogo,ngoja nikupe notes za stress management nahisi zitakusaidia sana
Mwanangu bado hujachelewa ,usikate tamaa pambana usiumie saaana mm nikupa history yangu kwa yaliyonitokea unawezaa sema kwako nafuuAJIRA zimekuwa za upendeleo hizi kwetu siye watoto wa mama ntilie tunaumia kwa hali hii tutaendelea kuwa chini daily
Mtu Yeyote aliyefanikiwa ana stori ya kusimulia.Maisha ni safari ndefuuMwanangu bado hujachelewa ,usikate tamaa pambana usiumie saaana mm nikupa history yangu kwa yaliyonitokea unawezaa sema kwako nafuu
Mkuu vipi na sie wa fani tulioomba..majina yetu bado hayajatoka..au ndo imeisha hiyo!!Wakuu hiki kitu hakipo hakuna zitakazo ongezwa 1000 wala kumi . Acheni kuwafariji vijana kwenye hamna. Polisi wamesha chukua watu wao na ndio imeisha hiyo. Kwa mlio kosa pambanieni magereza, uhamiaji na zimamoto. Mungu ni wa kwetu sote naamini atatenda miujiza [emoji120][emoji120][emoji120]
Tupe kidogo japo kwa ufupi mkuu hiyo storyMwanangu bado hujachelewa ,usikate tamaa pambana usiumie saaana mm nikupa history yangu kwa yaliyonitokea unawezaa sema kwako nafuu
Mkuu unafani gani wwMkuu vipi na sie wa fani tulioomba..majina yetu bado hayajatoka..au ndo imeisha hiyo!!
haya mambo haya kwahiyo wale wa fani ndo basi tenaMkuu unafani gani ww
Punguza ujuaji kubwa....Punguza stress dogo,ngoja nikupe notes za stress management nahisi zitakusaidia sana
Bongo kupata kazi serikalin mpka uwe kada au una konection na makada.Nini kitakuja kuwaondoa CCM madarakani? Wala sio CHADEMA ama chama chochote cha kisiasa, bali ni:
(AJIRA NA HALI NGUMU YA MAISHA)
Kadri kundi la wasio na ajira wanavyozidi kuongezeka; na kadri kundi la wenye ugumu wa maisha linavyozidi kuongezeka ndivyo CCM inavyozidi kuwa na hali ngumu kisiasa....nimeichukuwa mahali
Hii nchi hii ni ngumu kwakweliWatu wa fani ndio imetoka hiyo wakuu. Wiki yangapi hii hamjaitwa na watu kesho wanaanza kuingia ccp