Hii nchi imeharibiwa na siasa Tena deepHii nchi hii ni ngumu kwakweli
Yaani ngumu kwakeli. Mm mtoto wa masikini nan atanisaidia?
Nilisoma kwa shida, shule st kayumba, nikitumaini elimu mkombozi wangu, lakin mtu leo anasema wenye vigezo ni failure
Hapa hata sielewi, nawaza labda ningefeli, leo hii ninge kizi vigezo. Wanasiasa wamehiaribua sana hii nchi. Leo wenye vigezo wamefeli, nro nimeanza kusikia tanzania
AUTOMOTIVE ENGINEER.Mkuu unafani gani ww
ccp mkuu haiwez kua awaku kwa awamu.?dah ushanimwagia maji ya baridi aisee..Watu wa fani ndio imetoka hiyo wakuu. Wiki yangapi hii hamjaitwa na watu kesho wanaanza kuingia ccp
Mmmmhhh mbona makada wapo wengi tu na wamekosa....!Bongo kupata kazi serikalin mpka uwe kada au una konection na makada.
Kozi ya kuruta hii mkuu kuripoti huwa ni mara moja tu. Tafuta connection ili ikitokea nafasi za ku jazia jazia baada ya watu kupatikana na mapungufu uende japo bado ni ngumu pia.ccp mkuu haiwez kua awaku kwa awamu.?dah ushanimwagia maji ya baridi aisee..
AUTOMOTIVE ENGINEER.A
DeGreE.Kaka level gan wew
Dah sasa walitangazia nn mafara hawaKozi ya kuruta hii mkuu kuripoti huwa ni mara moja tu. Tafuta connection ili ikitokea nafasi za ku jazia jazia baada ya watu kupatikana na mapungufu uende japo bado ni ngumu pia.
Sasa kwanini walitangaza kuhitaji watu wenye fani aisee..?yaani siku zote najipa moyo..kumbe niendelee tu kubeti.Kozi ya kuruta hii mkuu kuripoti huwa ni mara moja tu. Tafuta connection ili ikitokea nafasi za ku jazia jazia baada ya watu kupatikana na mapungufu uende japo bado ni ngumu pia.
Punguza jazba Mkuu...Taratibu....Dah sasa walitangazia nn mafara hawa
Punguza jazba Mkuu...Taratibu....Dah sasa walitangazia nn mafara hawa
Jazba muhimu kiongoziPunguza jazba Mkuu...Taratibu....
Degree 97/668
Hamnaa bana Mbona mm ni mmojawapo niliyekosa hizo nafasi lakini nipo tu nimetulia...! Degree hizo tulikuwa 668 lakini hao waloonekana selected ni 97,hivyo kama Kuna mambo mengine yanaendelea huko Tusubiri.Ila wametuacha wengi sana DegreeJazba muhimu kiongozi
Pole kiongoz ila asikuambie ntu tunaoumia sisi uchumi wa chiniHamnaa bana Mbona mm ni mmojawapo niliyekosa hizo nafasi lakini nipo tu nimetulia...! Degree hizo tulikuwa 668 lakini hao waloonekana selected ni 97,hivyo kama Kuna mambo mengine yanaendelea huko Tusubiri.Ila wametuacha wengi sana Degree
Wala usiwaze Sana.Hizi mambo Kuna mengi,Mungu akikupa utapata.Relax tu mambo mengine yaendelee....Pole kiongoz ila asikuambie ntu tunaoumia sisi uchumi wa chini
Naelewa ngoja tuendelee na mishe zetu za kawaidaWala usiwaze Sana.Hizi mambo Kuna mengi,Mungu akikupa utapata.Relax tu mambo mengine yaendelee....
UhakikaNaelewa ngoja tuendelee na mishe zetu za kawaida
DeGreE.