Gpili
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,180
- 2,083
Hii nchi imeharibiwa na siasa Tena deepHii nchi hii ni ngumu kwakweli
Yaani ngumu kwakeli. Mm mtoto wa masikini nan atanisaidia?
Nilisoma kwa shida, shule st kayumba, nikitumaini elimu mkombozi wangu, lakin mtu leo anasema wenye vigezo ni failure
Hapa hata sielewi, nawaza labda ningefeli, leo hii ninge kizi vigezo. Wanasiasa wamehiaribua sana hii nchi. Leo wenye vigezo wamefeli, nro nimeanza kusikia tanzania