Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Usitegemee sana hilo kwan mlipokua kwenye usaili hamkupimwa hiv,au mimba kwa madawili ?Sema mliomba polisi walioenda ccp watapunguzwa tu huwa hawaingiagi wote maana kuna kupima mimba, ukimwi , mambo ya utomvu wa nidhamu maana mkuu wa chuo pale nasikia yupo serious kidogo sasa sijajua watajalizia vipi
kwa hyo mkuu Tulioomba kupitia fani..majina hayatotoka..tuendelee na mambo yetu tu au...?maana sielew kbsSema mliomba polisi walioenda ccp watapunguzwa tu huwa hawaingiagi wote maana kuna kupima mimba, ukimwi , mambo ya utomvu wa nidhamu maana mkuu wa chuo pale nasikia yupo serious kidogo sasa sijajua watajalizia vipi
Bora kuachwa kuliko kuona force number yako pale dah inachukiza kinyamaHamnaa bana Mbona mm ni mmojawapo niliyekosa hizo nafasi lakini nipo tu nimetulia...! Degree hizo tulikuwa 668 lakini hkoao waloonekana selected ni 97,hivyo kama Kuna mambo mengine yanaendelea huko Tusubiri.Ila wametuacha wengi sana Degree
Usichokifahamu ndugu yangu;bajeti ya polisi ni finyu na ndio maana hata polisi wamekuwa watu wa kutaabika sana,magari yao hayatembei bila jitihada zetu wadua,imefika muda unaweza kwenda kituo cha polisi kikuu cha wilaya ukakuta giza limetanda(kituo hakina umeme),wananchi tunatumia hela yetu kutoa kopi za maelezo,pf3 n.kPolisi kuna urasimu sana hujuma hili sio jeshi kabisa ona vijana wanalipishwa pesa ya nauli, bima ya afya,vipimo na kujikimu sasa hili jeshi gani jeshi au ni uzandifu tu??
Ivi huyu IGP alioni ili au na yy ndo wale wale tuu???dah inatia huruma sana vijana mnavyolalamika ndoma nasemaga kilw siku TANZANIA jeshi moja tu JW awo wengine wote raia wakakakamavu wasio na uzalendo stupid shame on you PT.....
MNATIA SANA AIBU POLISI TANZANIA....
Mzee wangu uliomba zote weweHawa uhamiaji sina iman nao kabisa yahn
ugonjwa wa ini, mguu hauna uvungu, makengeza, mimba, presha, kifua, malinda, bawasili, urefu, vyeti nidhamu. Yaani watawapa tu hata 200Usitegemee sana hilo kwan mlipokua kwenye usaili hamkupimwa hiv,au mimba kwa madawili ?
Marinda cjui bawasili hzo c wanapiwa kwenye usaili mikoani? Auugonjwa wa ini, mguu hauna uvungu, makengeza, mimba, presha, kifua, malinda, bawasili, urefu, vyeti nidhamu. Yaani watawapa tu hata 200
Za WASOMI hizooooo...Nafasi 1097 za kazi kutoka TRA
Haya tena kama kichwa kinavyojieeleza, TRA wamwaga nafasi za ajira.www.jamiiforums.com
Hamna kitu kama hicho vipimo vingi washapimwa mikoaniugonjwa wa ini, mguu hauna uvungu, makengeza, mimba, presha, kifua, malinda, bawasili, urefu, vyeti nidhamu. Yaani watawapa tu hata 200
Aisee ni shidaUsichokifahamu ndugu yangu;bajeti ya polisi ni finyu na ndio maana hata polisi wamekuwa watu wa kutaabika sana,magari yao hayatembei bila jitihada zetu wadua,imefika muda unaweza kwenda kituo cha polisi kikuu cha wilaya ukakuta giza limetanda(kituo hakina umeme),wananchi tunatumia hela yetu kutoa kopi za maelezo,pf3 n.k
Mimi kama raia najiulizia sana hii serikali inafeli wapi kuliboreshea jeshi la polisi mazingira mazuri ya kazi?
Hivyo ndugu yangu kitendo cha kuruta kulipishwa hela z vipimo,usafiri..n.k inatokana na ufinyu wa hela ktk hiyo wizara ya mambo ya ndani.
Just imagine Jwtz mwaka huu bajeti yao ni T.2 ila wizara ya mambo ya ndani ambayo ndani yake ina vyombo karibia vinne vya dola bajeti yao ni 900B yani hata 1t haijafika. Mzigo unatuelemea raia!
Huu uzi usife,vijana waki pass out July walete ushuhuda kama baba k walikuwepo au hawakuwepo.Baba K huo ni utaratibu kwenye vyombo vyote hao hawakosekani,hutawaona kwenye saili yoyote ile ila utapiga nao kozi na wengine kuonyesha ni miamba kweli huwasiliana na wazee wao kupitia kwa mkuu wa shule ya chombo husika..Siku hiz hakuna hata mwenye mamlaka wa kufanya recruitment.
Hakuna cha baba kantuma, hata kama zipo sio kama zaman
Kama ingekuwa hivyo mm ningesha kuwa askari magereza
Huu uzi usife,vijana waki pass out July walete ushuhuda kama baba k walikuwepo au hawakuwepo.Baba K huo ni utaratibu kwenye vyombo vyote hao hawakosekani,hutawaona kwenye saili yoyote ile ila utapiga nao kozi na wengine kuonyesha ni miamba kweli huwasiliana na wazee wao kupitia kwa mkuu wa shule ya chombo husika..
Yaani SACP anatoka mkuku nyumbani kwake anaenda kumtafuta kuruti fulani aongee na baba yake..
[emoji23][emoji23]
Ndugu punguza makasiriko we kukosa usiwaombee waliopata wakakutwe na dosari ili we upate iyo ni roho mbayaugonjwa wa ini, mguu hauna uvungu, makengeza, mimba, presha, kifua, malinda, bawasili, urefu, vyeti nidhamu. Yaani watawapa tu hata 200
Umemjibu vizuri sanaUsichokifahamu ndugu yangu;bajeti ya polisi ni finyu na ndio maana hata polisi wamekuwa watu wa kutaabika sana,magari yao hayatembei bila jitihada zetu wadua,imefika muda unaweza kwenda kituo cha polisi kikuu cha wilaya ukakuta giza limetanda(kituo hakina umeme),wananchi tunatumia hela yetu kutoa kopi za maelezo,pf3 n.k
Mimi kama raia najiulizia sana hii serikali inafeli wapi kuliboreshea jeshi la polisi mazingira mazuri ya kazi?
Hivyo ndugu yangu kitendo cha kuruta kulipishwa hela z vipimo,usafiri..n.k inatokana na ufinyu wa hela ktk hiyo wizara ya mambo ya ndani.
Just imagine Jwtz mwaka huu bajeti yao ni T.2 ila wizara ya mambo ya ndani ambayo ndani yake ina vyombo karibia vinne vya dola bajeti yao ni 900B yani hata 1t haijafika. Mzigo unatuelemea raia!
Mi. Nakwambia lazima wapungue hio ipo siku zoteUsitegemee sana hilo kwan mlipokua kwenye usaili hamkupimwa hiv,au mimba kwa madawili ?
Sijajua mkuukwa hyo mkuu Tulioomba kupitia fani..majina hayatotoka..tuendelee na mambo yetu tu au...?maana sielew kbs