Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Sema mliomba polisi walioenda ccp watapunguzwa tu huwa hawaingiagi wote maana kuna kupima mimba, ukimwi , mambo ya utomvu wa nidhamu maana mkuu wa chuo pale nasikia yupo serious kidogo sasa sijajua watajalizia vipi
Usitegemee sana hilo kwan mlipokua kwenye usaili hamkupimwa hiv,au mimba kwa madawili ?
 
kwa hyo mkuu Tulioomba kupitia fani..majina hayatotoka..tuendelee na mambo yetu tu au...?maana sielew kbs
 
Hamnaa bana Mbona mm ni mmojawapo niliyekosa hizo nafasi lakini nipo tu nimetulia...! Degree hizo tulikuwa 668 lakini hkoao waloonekana selected ni 97,hivyo kama Kuna mambo mengine yanaendelea huko Tusubiri.Ila wametuacha wengi sana Degree
Bora kuachwa kuliko kuona force number yako pale dah inachukiza kinyama
 
Daaah nimesoma comment nacheka kidogo napata huzuni
Nakumbuka nilisema wanangu tukipata tutafutane mapema ila daaah wachache sana mpo huko,mkapendane like brothers aisee

Mm binafsi nasubiria pia zimamoto,kama kuna taarifa yoyote ntafurahi nikipata ndugu zangu
 
Polisi kuna urasimu sana hujuma hili sio jeshi kabisa ona vijana wanalipishwa pesa ya nauli, bima ya afya,vipimo na kujikimu sasa hili jeshi gani jeshi au ni uzandifu tu??

Ivi huyu IGP alioni ili au na yy ndo wale wale tuu???dah inatia huruma sana vijana mnavyolalamika ndoma nasemaga kilw siku TANZANIA jeshi moja tu JW awo wengine wote raia wakakakamavu wasio na uzalendo stupid shame on you PT.....

MNATIA SANA AIBU POLISI TANZANIA....
Usichokifahamu ndugu yangu;bajeti ya polisi ni finyu na ndio maana hata polisi wamekuwa watu wa kutaabika sana,magari yao hayatembei bila jitihada zetu wadua,imefika muda unaweza kwenda kituo cha polisi kikuu cha wilaya ukakuta giza limetanda(kituo hakina umeme),wananchi tunatumia hela yetu kutoa kopi za maelezo,pf3 n.k

Mimi kama raia najiulizia sana hii serikali inafeli wapi kuliboreshea jeshi la polisi mazingira mazuri ya kazi?

Hivyo ndugu yangu kitendo cha kuruta kulipishwa hela za vipimo,usafiri..n.k inatokana na ufinyu wa hela ktk hiyo wizara ya mambo ya ndani.

Just imagine Jwtz mwaka huu bajeti yao ni T.2 ila wizara ya mambo ya ndani ambayo ndani yake ina vyombo karibia vinne vya dola bajeti yao ni 900B yani hata 1t haijafika. Mzigo unatuelemea raia!
 
Usitegemee sana hilo kwan mlipokua kwenye usaili hamkupimwa hiv,au mimba kwa madawili ?
ugonjwa wa ini, mguu hauna uvungu, makengeza, mimba, presha, kifua, malinda, bawasili, urefu, vyeti nidhamu. Yaani watawapa tu hata 200
 
watu wa degree ambao mliaplai makao makuu ni kua mliitwa makao makuu kwa interview au waliselect to direct
 
Usichokifahamu ndugu yangu;bajeti ya polisi ni finyu na ndio maana hata polisi wamekuwa watu wa kutaabika sana,magari yao hayatembei bila jitihada zetu wadua,imefika muda unaweza kwenda kituo cha polisi kikuu cha wilaya ukakuta giza limetanda(kituo hakina umeme),wananchi tunatumia hela yetu kutoa kopi za maelezo,pf3 n.k

Mimi kama raia najiulizia sana hii serikali inafeli wapi kuliboreshea jeshi la polisi mazingira mazuri ya kazi?

Hivyo ndugu yangu kitendo cha kuruta kulipishwa hela z vipimo,usafiri..n.k inatokana na ufinyu wa hela ktk hiyo wizara ya mambo ya ndani.

Just imagine Jwtz mwaka huu bajeti yao ni T.2 ila wizara ya mambo ya ndani ambayo ndani yake ina vyombo karibia vinne vya dola bajeti yao ni 900B yani hata 1t haijafika. Mzigo unatuelemea raia!
Aisee ni shida
 
Siku hiz hakuna hata mwenye mamlaka wa kufanya recruitment.

Hakuna cha baba kantuma, hata kama zipo sio kama zaman

Kama ingekuwa hivyo mm ningesha kuwa askari magereza
Huu uzi usife,vijana waki pass out July walete ushuhuda kama baba k walikuwepo au hawakuwepo.Baba K huo ni utaratibu kwenye vyombo vyote hao hawakosekani,hutawaona kwenye saili yoyote ile ila utapiga nao kozi na wengine kuonyesha ni miamba kweli huwasiliana na wazee wao kupitia kwa mkuu wa shule ya chombo husika..

Yaani SACP anatoka mkuku nyumbani kwake anaenda kumtafuta kuruti fulani aongee na baba yake..

[emoji23][emoji23]
 
Magepu yapogo tuu tokea enzi na enzi.......[emoji23][emoji23][emoji23]
 
ugonjwa wa ini, mguu hauna uvungu, makengeza, mimba, presha, kifua, malinda, bawasili, urefu, vyeti nidhamu. Yaani watawapa tu hata 200
Ndugu punguza makasiriko we kukosa usiwaombee waliopata wakakutwe na dosari ili we upate iyo ni roho mbaya
pia kwa taarifa yako tulishapima afya mkoani so usi tawakali hayo
mungu atamlinda kila mmoja aliyechaguliw na husda
 
Usichokifahamu ndugu yangu;bajeti ya polisi ni finyu na ndio maana hata polisi wamekuwa watu wa kutaabika sana,magari yao hayatembei bila jitihada zetu wadua,imefika muda unaweza kwenda kituo cha polisi kikuu cha wilaya ukakuta giza limetanda(kituo hakina umeme),wananchi tunatumia hela yetu kutoa kopi za maelezo,pf3 n.k

Mimi kama raia najiulizia sana hii serikali inafeli wapi kuliboreshea jeshi la polisi mazingira mazuri ya kazi?

Hivyo ndugu yangu kitendo cha kuruta kulipishwa hela z vipimo,usafiri..n.k inatokana na ufinyu wa hela ktk hiyo wizara ya mambo ya ndani.

Just imagine Jwtz mwaka huu bajeti yao ni T.2 ila wizara ya mambo ya ndani ambayo ndani yake ina vyombo karibia vinne vya dola bajeti yao ni 900B yani hata 1t haijafika. Mzigo unatuelemea raia!
Umemjibu vizuri sana
 
Back
Top Bottom