Usichokifahamu ndugu yangu;bajeti ya polisi ni finyu na ndio maana hata polisi wamekuwa watu wa kutaabika sana,magari yao hayatembei bila jitihada zetu wadua,imefika muda unaweza kwenda kituo cha polisi kikuu cha wilaya ukakuta giza limetanda(kituo hakina umeme),wananchi tunatumia hela yetu kutoa kopi za maelezo,pf3 n.k
Mimi kama raia najiulizia sana hii serikali inafeli wapi kuliboreshea jeshi la polisi mazingira mazuri ya kazi?
Hivyo ndugu yangu kitendo cha kuruta kulipishwa hela z vipimo,usafiri..n.k inatokana na ufinyu wa hela ktk hiyo wizara ya mambo ya ndani.
Just imagine Jwtz mwaka huu bajeti yao ni T.2 ila wizara ya mambo ya ndani ambayo ndani yake ina vyombo karibia vinne vya dola bajeti yao ni 900B yani hata 1t haijafika. Mzigo unatuelemea raia!