Au ukisikaaaaaaa paa ' ujue imekukosaHizi nafasi zimekaa ovyo sana
Umri utakua umekutupa mkono kwa level ya Ku apply mkoani ndio maana wakakuacha mzee mwenzanguZimamoto niliomba kote makao makuu na mkoani pia sababu kuna baadh ya fani walitaka waombe mikoani......
Magereza nimeomba makao makuu....
Umri utakua umekutupa mkono kwa level ya Ku apply mkoani ndio maana wakakuacha mzee mwenzangu
Na wanazingatia hatar kweny usaili maswala ya umri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....acha tuu yan tunajaribu mazali tuuu hakuna namna
Umezitoa wap hizNasikia Kuna pdf ya polisi inakuja majina 1300 kuna ukweli wowote mana hizo ni Loja na ni tetesi
Nani kakutonya?Nasikia Kuna pdf ya polisi inakuja majina 1300 kuna ukweli wowote mana hizo ni Loja na ni tetesi
Kujaribu mazali kwa saiv mm naona ni upuuzi tu maana wenye vigezo ni wengi kuliko nafasi zinazotangazwa khoo mpka wakufikie ni kama haiwezekani labda uwe na connection nzito ..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....acha tuu yan tunajaribu mazali tuuu hakuna namna
Ilo pdf mlifany UsailUmezitoa wap hiz
Ata kwenye kuandaa short list ya usail umri na elimu ndio hua vipaumbeleNa wanazingatia hatar kweny usaili maswala ya umri
Sema kama uliaply jeshi lolote kama hawajakutafut imeisha iyo saiv zinafanyika interview mikoan wilaya washamalizaAta kwenye kuandaa short list ya usail umri na elimu ndio hua vipaumbele
Sema kama uliaply jeshi lolote kama hawajakutafut imeisha iyo saiv zinafanyika interview mikoan wilaya washamaliza
Wewe ndo hauja itwa mzeeLakini magereza na zimamoto wale walioomba makao makuu bado hawajaitwa...
Wewe ndo hauja itwa mzee
Washamaliza kote saiz bado kozi2[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah aisee hawa jamaa hata mimi naanza kuamini kwamba mwendo wameumaliza[emoji23][emoji23]
Acha niendelee kuamini kuwa wenye degree hatujaitwa maana kukubali kuumaliza mapema hvi n kushindwa vita bila plan[emoji3][emoji3]Sema kama uliaply jeshi lolote kama hawajakutafut imeisha iyo saiv zinafanyika interview mikoan wilaya washamaliza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hatukubali hadi dakika ya mwisho muendo tuumalize vipi kirahisi hv mungu yupo nasi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah aisee hawa jamaa hata mimi naanza kuamini kwamba mwendo wameumaliza[emoji23][emoji23]
Awe hatar watu 50 wanatak 10 tuAiseee haya mambo haya inabdi mtu ukaoge maji ya bahari
Kwamba wote humu ndani waliotuma maombi makao makuu hakuna alieitwa hata mmojaWewe ndo hauja itwa mzee