Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Uzi wa zamani bado kidogo ni forward document kwa jobless wetu
 
Hapo kwenye barua kuwasilisha kwa kamanda wa polisi mkoa,
Kwenye barua kuna haja ya kuandika barua ikiwa na kupitia kwa (K.k)??

Au ni kuweka anwani moja ya makao makuu tuhhh
 
Hamna naona kwenye bachelor wameweka M.D, dental doctor, cjui na nurse kwenye diploma clinical medicine, ass. Nurse, ass physiotherapist n wengineo famasi
Kama wewe ni mfamasia wa degree apply tu mzee...ukitaka kujua why nifate PM
 
Polisi hawahitaji wafasia ...ntaishi nao Ivo Ivo ,[emoji36][emoji849][emoji849]watakua walijisahau[emoji847]
Kuna dogo kasoma bsc wildlife amesema haipo kwenye list ila anajaribu hivyo hivyo

Ila mimi naona kama ni risk hiyo au "bold move "
 
Namna ya kutuma maombi kwa email pale ..documents zote zinakua kwenye pdf moja au inakua separate moja moja ...kwa anaefahamu tafadhari.
 
U
Mimi nasubiri mtipidiii
Utasubir sana mzee utajutia hii chance ya police uko tpdf mpaka uwe na mbanga mzee jaribu na uku ukipenya na degree yako mbna unakula maisha tu unaanza na nyota moja polisi
 
We JAmaa polisi hawafanyi kazi kama tpdf kutoa nyota kinamna hiyo. Ukimaliza course una miaka yako kadhaa ya kukaa na uconstable kwanza then ndio baadae ukatafute usergeant na nyota moja

Lakin akiwa na degree ata mshahara atalipwa kwa scale ya degree and n kweli atakaa atleast miaka mitatu akiwa constable then ndo aende akapige kozi ya nyota
 
Lakin akiwa na degree ata mshahara atalipwa kwa scale ya degree and n kweli atakaa atleast miaka mitatu akiwa constable then ndo aende akapige kozi ya nyota
Hakuna kitu kama hicho kwenye vyeo atapanda kama polisi wa kawaida jina litatoka au litachaguliwa kama polisi wa kawaida ikifikia kipindi cha kwenda kusoma kuongeza cheo

Tofauti ni mshahara hapo tu
 
Hapo kwenye barua kuwasilisha kwa kamanda wa polisi mkoa,
Kwenye barua kuna haja ya kuandika barua ikiwa na kupitia kwa (K.k)??

Au ni kuweka anwani moja ya makao makuu tuhhh
Hili swali la muhimu sana hujapata jibu bado ? Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…