amiiiinDaah mkuu Mungu akusaidie upite maneno yako mpaka nimejisikia vibaya kwakweli.
Wewe na wengine wote muombao nawaombea kwa Mungu baba wa mbinguni awafungulie milango ya ridhiki.
Kipengele f cha tangazo kimeitaja ila kwenye viambatanisho kule mwisho haijatajwa.Nakushauri uiweke tu.Wamekariri hyo haiambatanishwii kwenye requirements zao
Siha njema iliyothibitishwa na daktari wa serikali. Au mm nina tangazo la tofautiHapo unaposema wewe pia wamesema awe na siha njema awe hajawahi kushtakiwa polisi kwa kosa la jinai sasa sijui utaambatabisha nini
Sent from my CPH2325 using JamiiForums mobile app
Zile ni sifa za waombaji ila form ya form sijui ya afya siyo, kiambatanisho kinachotakiwa kumbuka huko kuna kupimwa tena upya kabisaSiha njema iliyothibitishwa na daktari wa serikali. Au mm nina tangazo la tofauti
Najua kuwa kuna kupimwa tena. Na sio mara moja.Utapimwa wakati wa usaili. Ukipita usaili utapimwa tena kambini kabla ya kuanza mafunzo rasmi. Na hata katikati ya mafunzo mnaweza mkapimwa tena. So hilo sio zoezi la mara moja tu. Ni ushauri wangu tu, kama ilivyokuw huko nyuma. Kama unaweza kuiambatanisha iweke maana haitakupunguzia chochote as long as it is mentioned there. Jioni njema bossZile ni sifa za waombaji ila form ya form sijui ya afya siyo, kiambatanisho kinachotakiwa kumbuka huko kuna kupimwa tena upya kabisa
Sent from my CPH2325 using JamiiForums mobile app
Polisi wanaajiriwa wengi sana japo hawawezi fikia JW kwa waliomaliza kozi zilizopita lazima wasomi wawepo wa kutosha na sikuhizi mambo ni weledi zaidi lazima tu wasomi wawepoDogo janja anaonyesha kuwa anaijua ngoma vizuri kumbe ni mweupe,nadhani PT kwa majeshi yetu kwasasa wanaweza kuwa wanaongoza kwa Askari wengi kuwa na elimu za juu.
Kawaida kabisa ni Bongo tu ndio wanazingua Polisi sijui Magereza sijui nani huko uhamiaji hizo hazikupaswa kuwa jeshi!! Zile ni Department au Servicces tuHakuna jeshi linaitwa la uhifadhi hiyo ni taasisi tu haitambuliki kama jeshi kikatiba, mtaitana jeshi huko huko kwasababu ya kuvaa unform ila kikatiba haitambuliki
Mkuu nakutakia kila la kheri natamani sana utoboe mtaani hakufahi mkuu wangu uko katika sara zanguSijui mishahara yao ,sema Watoto wa mama ntilie sisi,wazazi wetu umri ushaenda tunatamani kuwasaidia ila kazi hatuna,pesa hakuna siwezi chagua kazi napambana hata kma kidogo hakitatosha kuhonga kitatosha kumlea mama, Mungu atubariki hii rizki [emoji120]
Wewe ungepata Polisi au Magereza ndio kunakufaa kule kuna lindo ambazo u ahitaji umakini kidogoMfano mm napenda lindo kuliko hta utraffic [emoji28]
Jeshi usu maana ake niniUhifadhi wa wanyamapori pia waliiliongeza nalo limekua kama jeshi siku hizi
Amiiiin [emoji120]Mkuu nakutakia kila la kheri natamani sana utoboe mtaani hakufahi mkuu wangu uko katika sara zangu
Tupo pamoja mkuu,Kuna mtu kanipanga asema iwepo tu,ndio ile bora usali kuliko kutosali alafu ukajakutana na mungu yupo kweliNajua kuwa kuna kupimwa tena. Na sio mara moja.Utapimwa wakati wa usaili. Ukipita usaili utapimwa tena kambini kabla ya kuanza mafunzo rasmi. Na hata katikati ya mafunzo mnaweza mkapimwa tena. So hilo sio zoezi la mara moja tu. Ni ushauri wangu tu, kama ilivyokuw huko nyuma. Kama unaweza kuiambatanisha iweke maana haitakupunguzia chochote as long as it is mentioned there. Jioni njema boss
Tupo pamoja mkuu,Kuna mtu kanipanga asema iwepo tu,ndio ile bora usali kuliko kutosali alafu ukajakutana na mungu yupo kweli
Sent from my CPH2325 using JamiiForums mobile ap
Baba lazima uende ukapimwe Hospital na wataalam alafu ile fomu unaiambatisha kwenye maombi yako.Zile ni sifa za waombaji ila form ya form sijui ya afya siyo, kiambatanisho kinachotakiwa kumbuka huko kuna kupimwa tena upya kabisa
Sent from my CPH2325 using JamiiForums mobile app
Wewe ungepata Polisi au Magereza ndio kunakufaa kule kuna lindo ambazo u ahitaji umakini kidogo
Pamoja mkuu. Tukutane CCP au Mkinga Tanga πππ
Pamoja mkuu. Tukutane CCP au Mkinga Tanga πππ
Ameni ameni ,, tuombeaneRaha sana kukutana kule kwa wanajamiiforums
UhakikaAmeni ameni ,, tuombeane