MOSHI UFUNDI
JF-Expert Member
- Nov 25, 2022
- 526
- 1,222
Ni posta mkuu,Ems ni huduma ya haraka watu hushindwa kutofautisha apoKwani EMS sio posta??
So kweli mkuu,upelekwaji wa hizo barua siyo kwa mkononi kama unavyojua wewe, NB mimi nilikuwa nawaza kama hivyo hivyo hadi jana nilipokwenda posta nikawauliza wakanieleweshaNimekutana na mzee wa posta ananiambia kutuma barua kwa EMS sio sahihi maana njia ya EMS maombi hupelekwa kwa mkono. Imebidi nitume kwa posta ya kawaida sasa najiuliza haya maombi ya uhamiaji deadline ni tarehe 29 mwez huu, hawa jamaa wana weza ifikisha barua mwakani mwez wa kwanza kabisa maana njia yao utata mwingi.
Waache presha tuu.... Ems barua itafika na itapokelewa!!Ni posta mkuu,Ems ni huduma ya haraka watu hushindwa kutofautisha apo
Wakisema barua zitakazopelekwa kwa mkono wanamaanisha wewe ukipeleka kwa mkono wako kama vile maombi ya ngazi ya mkoa au wilaya waombaji hupeleka barua zao wao wenyewe kwa mikono yao na siyo posta [emoji28]Nimekutana na mzee wa posta ananiambia kutuma barua kwa EMS sio sahihi maana njia ya EMS maombi hupelekwa kwa mkono. Imebidi nitume kwa posta ya kawaida sasa najiuliza haya maombi ya uhamiaji deadline ni tarehe 29 mwez huu, hawa jamaa wana weza ifikisha barua mwakani mwez wa kwanza kabisa maana njia yao utata mwingi.
Ndio mkuu watu wana mteru SanaWaache presha tuu.... Ems barua itafika na itapokelewa!!
Nina jamaa yangu ni polisi na ka elimu kake ka "D" 3 ila kwa mwezi anaweza ingiza 900k na hapo bado vile vi hela vya brashi.WatU hawajui haya...in short vijana wanaoingia vyombo vya ulinzi kwa miaka ya karibuni wanapata pesa nzuri kiasi tofauti na wale wa zamani walikuw hawan benefits nyingi
Maslahi madogo ya polisi kulinganisha na sekta gani mkuu, pia wakati unaongea usijiweke kwenye kundi la watoto wa vibopa sisi wengi wetu tumetoka familia duni zinazohitaji usaidizi wetu hvyo n bora kupata kitu kuliko kukosa kabisaDahh ajira za police zimekua dili kias hiki wakat ni kaz zinazobezwa na kila mtu maslahi madogo mno yaan ukikaa nao wanavyolalamika hawana kitu acha tu hasa hawa walinda bank usiseme elfu kumi yao kwa cku imepita hio
na walio zidi mwaka mmoja yani 31 inakuwaje hapo.Vijana tulieni kwa wale wenye elimu ya kuanzia Astashahada,Stashahada,Shahada waendelee kusubiria majina yatatolewa kupitia tovuti ya polisi.go.tz
Wale wa kidato cha nne na sita majina yao watayakuta kwenye mbao za matangazo katika ofisi za RPC,RC katika mikoa waliyoombea nafasi..
Tanga leo usaili unafanyika ofisi za RPC.
Bahati yako itakubeba na uhitaji utakaokuwepo kweny taaluma husika.na walio zidi mwaka mmoja yani 31 inakuwaje hapo.
Jamaa anawenge tu[emoji23]Kwani EMS sio posta??
Wengi sana humu ndani wana wenge la kufa mtu...[emoji23][emoji23] Mtaani hakufai wakuu.Jamaa anawenge tu[emoji23]
Mteru ni mwingi Sana asee mtaani hakufaiWengi sana humu ndani wana wenge la kufa mtu...[emoji23][emoji23] Mtaani hakufai wakuu.
hali ni mbaya sana streetWengi sana humu ndani wana wenge la kufa mtu...[emoji23][emoji23] Mtaani hakufai wakuu.
Daah... We acha tuu!! Mwaka huu labda neema ipo!! Kwa tusio na mibanga Mungu tuu ndio atusimamie!!hali ni mbaya sana street
jah atabless tu kitaa hakikaliki chimbo lolote kati ya boma kichaka miba ama ccp moshiDaah... We acha tuu!! Mwaka huu labda neema ipo!! Kwa tusio na mibanga Mungu tuu ndio atusimamie!!
Ngazi gani ya elimu wewe??jah atabless tu kitaa hakikaliki chimbo lolote kati ya boma kichaka miba ama ccp moshi
Mungu atusaidie kwa kweliDaah... We acha tuu!! Mwaka huu labda neema ipo!! Kwa tusio na mibanga Mungu tuu ndio atusimamie!!
Kiazi wewe kasome katiba.Bado sijagusia Tanapa kuna kila mwenye ngazi ya elimu kuanzia form 4 mpka kuendelea ambapo kuna mpka ma botanist ...watu wa wildlife nakadhalika wamesoma
Hilo pia ni jeshi ndio nakufundisha jeshi sio polisi, magereza , uhamiaji na zimamoto
Rudi darasani maana we kichwani ndio mweupe