Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kama hauna vigezo ndio utoe povu,hata kama ukisema siyo idara ni jeshi tutaomba na hata ukisema ni idara siyo Jeshi tunaomba mkuu, umekariri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vigezo ninavyoo niko kw mchakato wa kuomba. Hapa tunajifunza mkuu so tyr ushajua kuw jeshi ni moja tu. Hain haja ya kuvimba
 
Sorry jamani naomba kuuliza hivi kuna tofauti kati ya military science na tpdf yaani mafunzo ni tofauti au maana military science hawa form six wameshaanza mafunzo je kuna uwezekano jwtz wakatangaza ajira nyingine au ndio hizo hizo military science wanachukua tu mpaka miitary science wengne tena wa 2023....au inakuaje kwa wanaolewa
 
Wew hujuw lolote,unaeleweshwa unajivimbisha[emoji1787][emoji1787]
We ndio mweupe alafu mbishi kueleweshwa,unakaza kichwa ukitaka twende kiuhalisia wa majeshi hamna jeshi bongo hii,wanatofautiana uniform tu kutwa askari wetu wanatoka vitambi
 
Majeshi yako wewe yote yanatumia SMG tofaut uniform tu [emoji28][emoji28]
Wew jeshi ni JW hata km unaona wanabeba smg 56 km police lkn hawa JW wana mafunzo makubw sn ukilinganisha na hao wengn wanaobeba hzo silaha.
 
Polisi maombi yako unaelekeza kwa nani maana naona wanasema barua zote za application ziandikwe kwenda kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania au tubadilishe tuandike Mkuu wa Idara ya Polisi Tanzania?

Msaada tutani [emoji1241]
Mwambie abadilishe huyo mjuaji [emoji1787][emoji1787]
 
We ndio mweupe alafu mbishi kueleweshwa,unakaza kichwa ukitaka twende kiuhalisia wa majeshi hamna jeshi bongo hii,wanatofautiana uniform tu kutwa askari wetu wanatoka vitambi
Sas wew unataka kupindisha uhalisia wenyewe, hamna jeshi kvp wkt kuna jeshi la wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…