Xmonster
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 1,644
- 2,382
Nini maana ya Jeshi na Nini maana ya idara??Bas Hilo sio jeshi ni idara tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini maana ya Jeshi na Nini maana ya idara??Bas Hilo sio jeshi ni idara tu
Huna vigezo wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwel kbs tuombe tu[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vigezo ninavyoo niko kw mchakato wa kuomba. Hapa tunajifunza mkuu so tyr ushajua kuw jeshi ni moja tu. Hain haja ya kuvimbaKama hauna vigezo ndio utoe povu,hata kama ukisema siyo idara ni jeshi tutaomba na hata ukisema ni idara siyo Jeshi tunaomba mkuu, umekariri
[emoji23][emoji23][emoji23]Huna vigezo wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mim nina wasiwasi sn na wew,kwanz umepita kikosi namba ngapi wewe hadi usijue kuw nchi hii kuna jeshi moja tu. Wew hujapita kikos chchte cha jeshi[emoji23][emoji23][emoji23]
Unaomba uhamiaji au polisi mkuu?Mim nina wasiwasi sn na wew,kwanz umepita kikosi namba ngapi wewe hadi usijue kuw nchi hii kuna jeshi moja tu. Wew hujapita kikos chchte cha jeshi
Hata Jkt wewe hujafika lkn unajifanya mjuaji bora ukae kimya, nenda vijiwe vya kahawaSaf kbs
Unatuma polisi au uhamiaji kwa vigezo ulivyonavyo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vigezo ninavyoo niko kw mchakato wa kuomba. Hapa tunajifunza mkuu so tyr ushajua kuw jeshi ni moja tu. Hain haja ya kuvimba
Naomba zote mkuuUnaomba uhamiaji au polisi mkuu?
Tanzania tusijidanganye tuna Jeshi,kwa silaha za Ak47 silaha ambazo kongo raia wanazo [emoji28][emoji28]Mim nina wasiwasi sn na wew,kwanz umepita kikosi namba ngapi wewe hadi usijue kuw nchi hii kuna jeshi moja tu. Wew hujapita kikos chchte cha jeshi
Wew hujuw lolote,unaeleweshwa unajivimbisha[emoji1787][emoji1787]Hata Jkt wewe hujafika lkn unajifanya mjuaji bora ukae kimya, nenda vijiwe vya kahawa
Majeshi yako wewe yote yanatumia SMG tofaut uniform tu [emoji28][emoji28]Naomba zote mkuu
Kwan hyo AK47 haiuwi? Wew kwel huna akili.Tanzania tusijidanganye tuna Jeshi,kwa silaha za Ak47 silaha ambazo kongo raia wanazo [emoji28][emoji28]
Polisi maombi yako unaelekeza kwa nani maana naona wanasema barua zote za application ziandikwe kwenda kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania au tubadilishe tuandike Mkuu wa Idara ya Polisi Tanzania?Naomba zote mkuu
We ndio mweupe alafu mbishi kueleweshwa,unakaza kichwa ukitaka twende kiuhalisia wa majeshi hamna jeshi bongo hii,wanatofautiana uniform tu kutwa askari wetu wanatoka vitambiWew hujuw lolote,unaeleweshwa unajivimbisha[emoji1787][emoji1787]
Wew jeshi ni JW hata km unaona wanabeba smg 56 km police lkn hawa JW wana mafunzo makubw sn ukilinganisha na hao wengn wanaobeba hzo silaha.Majeshi yako wewe yote yanatumia SMG tofaut uniform tu [emoji28][emoji28]
Mwambie abadilishe huyo mjuaji [emoji1787][emoji1787]Polisi maombi yako unaelekeza kwa nani maana naona wanasema barua zote za application ziandikwe kwenda kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania au tubadilishe tuandike Mkuu wa Idara ya Polisi Tanzania?
Msaada tutani [emoji1241]
Sas wew unataka kupindisha uhalisia wenyewe, hamna jeshi kvp wkt kuna jeshi la wananchi.We ndio mweupe alafu mbishi kueleweshwa,unakaza kichwa ukitaka twende kiuhalisia wa majeshi hamna jeshi bongo hii,wanatofautiana uniform tu kutwa askari wetu wanatoka vitambi