Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

m
mkuu uhamiaji pekee inagusa karibia 40000 hvi ukituma kwa EMS. kopies za vyeti,muhuri wa mahakama,Passport,utambulisho wa serikali za mtaa,nauli za hapa na pale +medical report attachment. na ukitoa kaladi vyeti
Duuh aisee
kutafuta kazi ni kazi balaa cost kama zote
 
Usijali mkuu...nikiwa pale uhamiaji mwakani tutalisimamia hilo 😁
 
Kaka ulivyouliza hilo swali..una imani kubwa sana aise

itakua ana connection mkuu
Hamna ndugu zanguni me nmeuliza ivyo maana vigezo vyote najiona nimefit na naimani katika Mungu sema napenda sana TPDf shida inakuja njaa ya kitaani inafanya nijaribu kotekote.

Nachohofia chama la wana linaweza kutema nafasi nyingi nikajikuta nmeenda sehemu ambayo moyo hauna furaha.

MAISHA YETU MAGUMU NDO YANAFANYA TUFANYE MAAMUZI AMBAYO HATUYARIDHII.
 
Ubaya vyeti vyote vipo dar na sasahvi gharama ya kusafirisha ni 10k so nikijumlisha na magharama ya maombi na kilakitu naona napigika so kitoto.

AJIRA NGUMU SANA ACHA HIZI
 
Ubaya vyeti vyote vipo dar na sasahvi gharama ya kusafirisha ni 10k so nikijumlisha na magharama ya maombi na kilakitu naona napigika so kitoto.

AJIRA NGUMU SANA ACHA HIZI
mkuu ni mgeni wa kuomba ajira online. vyeti mtu ana viscan anakutumia kwa wasap,emails nk then ww utaprinti utume . mbona rahisi tu afsa ama kitaa kimekuchapa umesahau mpaka taratibu za kufata.
 
TPDF hawatoi nafasi mzee utasikia tuu watu wanaripoti kimyakimya kama upo mfatiliaji makambi ya jkt utaziskia,zinazo natangazwa ni zile special course tuu nazo skuiz hawatangazi wanachukua vyuoni na mujibu wa sheria,,kuna ronja ipo ila inahitaji uvumilivu kama sio mvumilivu polisi na uhamiaji zipo kwajili yetu[emoji1]
 
mkuu ni mgeni wa kuomba ajira online. vyeti mtu ana viscan anakutumia kwa wasap,emails nk then ww utaprinti utume . mbona rahisi tu afsa ama kitaa kimekuchapa umesahau mpaka taratibu za kufata.
Sijawahi omba ajira kwa online mkuu, Ahsante sana kwa ufafanuzi.
 
Nina dem yupo makutupora Dom yeye ndo ananijuza kuhusu Tpdf
 
Kumbe unaelewa mtipidii sana kuliko poti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…