mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
Wapiganaji wenzangu,Kiambatanisho B mmeweka peke yake au mmeweka document Moja ndipo mkatuma??
Kipepeo jungu [emoji3][emoji3][emoji3]mm nilitenganisha . so nilituma documents mbili tofauti. ila zote nilizipachika jina mfano" kipepeo jungu kiambatanisho B "
sio poa mkuu mapambano juu ya mapambanoKipepeo jungu [emoji3][emoji3][emoji3]
Kiambatanisho B kinajitegemea unajaza then utatuma pamoja na nakala za viambatanishi kwaiyo utatuma files mbiliWapiganaji wenzangu,Kiambatanisho B mmeweka peke yake au mmeweka document Moja ndipo mkatuma??
Kiambatanisho B format yake ile ile ya xls ila vyeti na barua utaweka kwmye PDFAliyetuma maombi online,Mmetuma viambatanisho kwa format ipi?
Sio poa kweli ndugu yangu[emoji3][emoji3][emoji3]sio poa mkuu mapambano juu ya mapambano
Mtu anajiita Msaga sumuNajua tutafamiana na majina yetu halisi ,tukikutana nyakati za Usaili makao inshaalah ...sio unakuta mtu anajiita JAGWA Humu Jf 😂
Vijana wenzangu mbona mna mitelu hivi?Wakuu naombeni mwenye uelewa kuhusu kipengele cha kuthibitisha afya ya mwili na akili anieleweshe. Fomu inayotumika ni ipi na inapatikana wapi?
Ila mkuu me nilijua ushaondoka na bogi au unamfanyia mtu application??Wapiganaji wenzangu,Kiambatanisho B mmeweka peke yake au mmeweka document Moja ndipo mkatuma??
Thank u champ. jambo jema tukitinga wotee wapambanajimfwende amekua akifanya kazi nzuri sana kwenye huu uzi.
Amekua akihabarisha na kutoa nondo kadhaa kuhusiana na majeshi yetu.
Kiukweli anaupiga mwingi sana.
Namuombea kwa mola muumba mbingu na nchi awe kati ya watu ambao watakao pata bogi la ajira.
mfwende nakutaribia utakua mmoja wa watu watakaoapa pale kwenye uwanja wa ushirika moshi.inshallah!!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Let's continue to believe champ.Thank u champ. jambo jema tukitinga wotee wapambanaji
ccp fresh ila damu yangu ipo immigrationmfwende amekua akifanya kazi nzuri sana kwenye huu uzi.
Amekua akihabarisha na kutoa nondo kadhaa kuhusiana na majeshi yetu.
Kiukweli anaupiga mwingi sana.
Namuombea kwa mola muumba mbingu na nchi awe kati ya watu ambao watakao pata bogi la ajira.
mfwende nakutaribia utakua mmoja wa watu watakaoapa pale kwenye uwanja wa ushirika moshi.inshallah!!.
Sent using Jamii Forums mobile app
IN SHAA ALLAHThank u champ. jambo jema tukitinga wotee wapambanaji
yaah mwanangu
tuko pamoja watafutajiIN SHAA ALLAH
Team mateThank u champ. jambo jema tukitinga wotee wapambanaji