Allahuma amiin [emoji120]mfwende amekua akifanya kazi nzuri sana kwenye huu uzi.
Amekua akihabarisha na kutoa nondo kadhaa kuhusiana na majeshi yetu.
Kiukweli anaupiga mwingi sana.
Namuombea kwa mola muumba mbingu na nchi awe kati ya watu ambao watakao pata bogi la ajira.
mfwende nakutaribia utakua mmoja wa watu watakaoapa pale kwenye uwanja wa ushirika moshi.inshallah!!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Immigration tatizo competition.n
ccp fresh ila damu yangu ipo immigration
passion,fursa na mazingira ya kazi mkuuImmigration tatizo competition.
Na kwanini immigration na sio CCP.
Sent using Jamii Forums mobile ap
TengenezaWadau c.v mmeattach? Mie sina
Unajua sana kaka. Tukutane Boma, nipo pale 😂passion,fursa na mazingira ya kazi mkuu
pamoja mkuuUnajua sana kaka. Tukutane Boma, nipo pale 😂
Omba Mungu tukutane mkuu!![emoji23][emoji23]Mwaka uishe tu yani mtaani nimepachoka Sana,naona siku ya kwenda kozi nitakuwa wale wa kwanza kwanza [emoji28]
Sent from my CPH2325 using JamiiForums mobile app
AmiinOmba Mungu tukutane mkuu!![emoji23][emoji23]
Niichape au niiandike kw mkono?Tengeneza
Wakuu C.V niichape au niiandike kwa mkono?
Ahsnt kakaChapa mkuu, usiandike kwa mkono!.
Subiri may be watarud tenaMwenye lonja ya magereza au wao ndio imetoka hivyo
ndio jeshi ambalo halina kujuana sana watu hawalikimbilii sana. hata kuingia kihalali ni nje nje
Wewe ndo una mteru kaka. Tangazo ulilisoma vizuri?Vijana wenzangu mbona mna mitelu hivi?
Vitu vya kuambatanisha ulisoma vizuri?.
Sent using Jamii Forums mobile app