Kaka maelekezo yote yapo kwenye matangazo yao ,jaribu kusoma maelekezo vizuri kuepuka majibu magumu kwenye maswali rahisiWakuu samahann naomben kuulizia kwenye kutuma hizi barua za maombi kunaitaji barua ya mwenyekiti wa mtaa na passport.?
sijaona hcho kipengele lakin kuna mdau alipeleka akaambiwa aambatanishe so sina uhakika niliomba kuulizia kwa walokusanyaKaka maelekezo yote yapo kwenye matangazo yao ,jaribu kusoma maelekezo vizuri kuepuka majibu magumu kwenye maswali rahisi
Hivi boss hamsomag matangazo au vipi maana kama umesoma tangazo majibu yote unakuwa nayoWakuu samahann naomben kuulizia kwenye kutuma hizi barua za maombi kunaitaji barua ya mwenyekiti wa mtaa na passport.?
tangazo linasema waombaji wote tunaelekeza sanduku la posta la dodoma pekee, hata kama upande wako maombi yako unapeleka kambi husika ya mkoa.Wakubwaaa,
Hivii haya maombi ya kuwasilishaa kwa makamanda wakuu wa polisi mikoani kwenye upande wa bahashaa pale juu tunaandika anwani ya
Mkuu wa Jeshi la Polisi
Dodoma.
AU
Kamanda Mkuu wa Jeshi la Polisi
Mkoa husika.
Coz nimeshapata mteruu + mhaoo kama wote
Wakuu samahann naomben kuulizia kwenye kutuma hizi barua za maombi kunaitaji barua ya mwenyekiti wa mtaa na passport.?
Mjadala wenu wa ems na barua za kawaida umefika wapi ?
Mimi nishatumiwa ujumbe barua yangu imepokelewa. Nilituma jana kwa EMS. Kazi kwako mkuu.Mjadala wenu wa ems na barua za kawaida umefika wapi ?
umetumiwa ujumbe ??Mimi nishatumiwa ujumbe barua yangu imepokelewa. Nilituma jana kwa EMS. Kazi kwako mkuu.
Hahahaa unajua kutupa presha wenzakoMimi nishatumiwa ujumbe barua yangu imepokelewa. Nilituma jana kwa EMS. Kazi kwako mkuu.
Mkuu nielekeze jinsi ya kutract mzigo nami nilitumia Emstangazo linasema waombaji wote tunaelekeza sanduku la posta la dodoma pekee, hata kama upande wako maombi yako unapeleka kambi husika ya mkoa.
ingia kwenye website ya Posta kiganjani. then kwenye ile risiti kuna barcode number zipo utaziingiza kwenye website itaonyesha details zako na muda uliotuma na muda ambao mzigo ulikua delivered domMkuu nielekeze jinsi ya kutract mzigo nami nilitumia Ems
Sent from my CPH2325 using JamiiForums mobile app
Na bar code ndiyo mtihani nikicheki apa nikiingiza inakataaingia kwenye website ya Posta kiganjani. then kwenye ile risiti kuna barcode number zipo utaziingiza kwenye website itaonyesha details zako na muda uliotuma na muda ambao mzigo ulikua delivered dom
Hiyo apo bar code,sasa apo mwishoni Ni Tz au kaandikaje miandiko sometime inachanganyaingia kwenye website ya Posta kiganjani. then kwenye ile risiti kuna barcode number zipo utaziingiza kwenye website itaonyesha details zako na muda uliotuma na muda ambao mzigo ulikua delivered dom
yaah TzHiyo apo bar code,sasa apo mwishoni Ni Tz au kaandikaje miandiko sometime inachanganyaView attachment 2452662
Sent from my CPH2325 using JamiiForums mobile app
Nikiweka bar code inazinguaingia kwenye website ya Posta kiganjani. then kwenye ile risiti kuna barcode number zipo utaziingiza kwenye website itaonyesha details zako na muda uliotuma na muda ambao mzigo ulikua delivered dom
[emoji3][emoji3] hongera mkuu ushaanza kuwapa watu Mteru sidhani kama wanajibu barua imepokelewaMimi nishatumiwa ujumbe barua yangu imepokelewa. Nilituma jana kwa EMS. Kazi kwako mkuu.