Gogo Kavu
JF-Expert Member
- Oct 18, 2021
- 245
- 231
Kaka maelekezo yote yapo kwenye matangazo yao ,jaribu kusoma maelekezo vizuri kuepuka majibu magumu kwenye maswali rahisiWakuu samahann naomben kuulizia kwenye kutuma hizi barua za maombi kunaitaji barua ya mwenyekiti wa mtaa na passport.?