Mpaka naamua hivi,ushahidi ninao, pa kuriport ndo sijapa,kama unafaham contacts zao naomba share na mimi. Na si kwamba lengo langu ni kumuanika,bali ni kupata mawasiliano na wakubwa zakeKumpost hapa mkuu bado hakusolve lofoten.Kama una ushahidi mkuu kamreport ili achukuliwe hatua za kinidhamu na wakubwa zake huko.
Mama samia anatoa vibali mpaka raha.Safari hii na wewe unatuaga
Lonja nyengine kwa watakaobakia
Magereza wanakuja tena
Ila mkuu siku akisimama tu ...
Amiin 🙏Safari hii na wewe unatuaga
Lonja nyengine kwa watakaobakia
Magereza wanakuja tena
Safari hii na wewe unatuaga
Lonja nyengine kwa watakaobakia
Magereza wanakuja tena
Amini kwamba,tupo na Mungu kila hatuahabaki mtu wakuu
Tukakiwashe Bravo Coy...Suala la Muda tu
OP gan wewe mkuu😂😂Tukakiwashe Bravo Coy...
Hakuna Coy naipenda kama bravo na huwa ndio coy yenye madoso makali
Operesheni tanzania ya viwanda JKT MTABILA KIGOMAOP gan wewe mkuu😂😂
Inategemea siyo kila Sehem utakuta hivyo,me kikosin kwangu kombi yenye madoso makali ilikuwa ni Danger coy ikifuatwa na Eagle coyTukakiwashe Bravo Coy...
Hakuna Coy naipenda kama bravo na huwa ndio coy yenye madoso makali
Inategemea siyo kila Sehem utakuta hivyo,me kikosin kwangu kombi yenye madoso makali ilikuwa ni Danger coy ikifuatwa na Eagle coy
mi nilikua D coy -mafinga operesheni tanzania ya viwanda .kamanda Msangi alitubeba sana. ila C coy walisoteshwa aibu kiasi kwamba walikua wnatamani wahamie kwetuBravo coy ndio huwa coy la makomandoo ..
COy la kutuliza ghasia 😅
letu moja champAmini kwamba,tupo na Mungu kila hatua